Huku Zelensky akiendelea kukataa vyake visiguswe, Taiwan inayosaidiwa kiulinzi na Marekani imetangaza kuwekeza Trilioni 260

Huku Zelensky akiendelea kukataa vyake visiguswe, Taiwan inayosaidiwa kiulinzi na Marekani imetangaza kuwekeza Trilioni 260

Taiwan hawauzi kiwanda chao, hawauzi TCMC, ni makubaliano , concern ya america if china waki overun taiwan kwenye vita? Watapata wapi similar product?
America anawaza chines wasije take over wakat taiwan anawaza kuokoa brand kwa gharama yoyote haswa wakati huu wako under threat kutoka china
Hiki wanancho fanya ni uuzaji wa TSMC hakuna kingine hapo TSMC ndio inaondoka hivyo mdogo mdogo Taiwan na kwenda marekani hii kitu inawakera hata wananchi wa Taiwan

Hiyo hofu ya tishio la uvamizi ndilo linapelekea mpaka wao kuwapa kiwanda chao muhimu marekani.

Actually DPP wana wauza Taiwan


 
kampuni ya utengenezaji wa semiconductor ya Taiwan TSMC imetangaza kuwekeza dola bilioni 100 (shilingi trilioni 260) kujenga viwanda vya kutengeneza semiconductor nchini Marekani.

Taiwan imekuwa ikisaidiwa sana kwenye mambo ya Ulinzi na Marekani, Taiwan inajihami kwa kuhakikisha kuwa inabaki kuwa mshirika wa Marekani ili kusaidiwa mambo ya kiulinzi kwa kuchangia maendeleo ya Marekani.

Hakuna misaada mikubwa nchi inatoa bure bure, ni lazima nchi inayopata ijiongeze, Marekani anatoa misaada kupitia kodi za wananchi SIO BURE !! kwa kulitambua hili nchi nyingi zinazosaidiwa kiulinzi na Marekani huwa zinarudisha chochote, huu ndio uungwana.

Ni jambo la ajabu kuona Zelensky yeye anataka kupewa tu hataki vyake viguswe, things don't go like that.
Mtu anayewekeza usa kwente chip atapotea tu maana bidhaa zake lazima ziwe ghali siku mchina akijipata amekwisha
 
Back
Top Bottom