Huku Zelensky akiendelea kukataa vyake visiguswe, Taiwan inayosaidiwa kiulinzi na Marekani imetangaza kuwekeza Trilioni 260

Hiki wanancho fanya ni uuzaji wa TSMC hakuna kingine hapo TSMC ndio inaondoka hivyo mdogo mdogo Taiwan na kwenda marekani hii kitu inawakera hata wananchi wa Taiwan

Hiyo hofu ya tishio la uvamizi ndilo linapelekea mpaka wao kuwapa kiwanda chao muhimu marekani.

Actually DPP wana wauza Taiwan


 
Mtu anayewekeza usa kwente chip atapotea tu maana bidhaa zake lazima ziwe ghali siku mchina akijipata amekwisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…