Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Ndilo jani litakalovunja mgongo wa ngamia.
Yule Sabaya ni prince of the nation. Mtu yeyote anayekuwa na cheo Kama kile anaitwa "prince".
CCM imetisha watu imeshinda Uchaguzi na Sabaya alikuwa katika Frontline katika kutisha. Sabaya alisema,"watu wanajikamatisha,wanaenda jela,wakitoka huko,wanaitukana serikali. Sitakubali hayo yatokee hapa katika wilaya ya Hai."
Yule mtu alikuwa sincere. Na hili ni kosa la kwanza,Kama alivyosema hakimu wakati anatoa hukumu,kwa hiyo kwa nini asisamehewe?
Kwa sababu it is highly unlikely kwamba utamtisha mtu yoyote na hukumu kama hizi. Hii ni Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kazi itaendelea .
Haya mambo hayafai. Kuna kazi za kufanya. You cannot snap at the snipers.
Sasa Sabaya ana vijisenti vyake shilingi bilioni tatu. Mawakili watagawana zile hela,halafu yeye watampeleka jela.
Yule mtu ni prince of the nation,amelitumikia taifa Sasa unamdhalilisha.
Mbona siwaoni UVCCM wanapongeza ole hukumu. Au CCM mbona hawajasikika wanaipongeza Ile hukumu?