Accumen Mo JF-Expert Member Joined May 15, 2022 Posts 18,036 Reaction score 39,882 Oct 30, 2023 #1 Amani iwe juu yenu! Ebu jaalia kama hii hukumu ingetokea nchi fulani za kiarabu ,je maoni ya watu dunia nzima ingekuwaje? Jamani sio kwa ubaya ila hukumu inatokana na sheria husika zilizowekwa bora kufuata sheria bila shuruti.
Amani iwe juu yenu! Ebu jaalia kama hii hukumu ingetokea nchi fulani za kiarabu ,je maoni ya watu dunia nzima ingekuwaje? Jamani sio kwa ubaya ila hukumu inatokana na sheria husika zilizowekwa bora kufuata sheria bila shuruti.
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 32,529 Reaction score 76,691 Oct 30, 2023 #2 Hivi ndivyo inavyotakiwa Sasa sio inabusiana mijanamume...
Accumen Mo JF-Expert Member Joined May 15, 2022 Posts 18,036 Reaction score 39,882 Oct 30, 2023 Thread starter #3 KENZY said: Hivi ndivyo inavyotakiwa Sasa sio inabusiana mijanamume... Click to expand... 😂😂😂Wabongo wengi wakienda kweny nchi za watu ndio maana watu weusi wanapigwa bastola kwa vile hawafuati sheria wengi wao ujuaji ni mwingi.. Kila nchi ina sheria zake.
KENZY said: Hivi ndivyo inavyotakiwa Sasa sio inabusiana mijanamume... Click to expand... 😂😂😂Wabongo wengi wakienda kweny nchi za watu ndio maana watu weusi wanapigwa bastola kwa vile hawafuati sheria wengi wao ujuaji ni mwingi.. Kila nchi ina sheria zake.
Dream Queen JF-Expert Member Joined Nov 4, 2015 Posts 8,263 Reaction score 18,201 Oct 30, 2023 #4 Safi kabisa maana kamdhalilisha kijinsia, Ukute domo lake linanuka misigara na pombe kali [emoji2961]
Safi kabisa maana kamdhalilisha kijinsia, Ukute domo lake linanuka misigara na pombe kali [emoji2961]
ujoka JF-Expert Member Joined Nov 27, 2014 Posts 4,792 Reaction score 11,295 Oct 30, 2023 #5 Wazungu walivokua wapuuzi angemlakinywa mwanaume apo angepongezwa balaa ndio angekua icon wao