hukumu kesi ya Chenge

hukumu kesi ya Chenge

Sheria zinasemaje kwa mtu aliyepatikana na kosa na kuhukumiwa na mahakama, je kazi yake ya ubunge ataendelea nayo?
 
Hivi mkuu hii sheria mpaka leo
Sheria inayohusu kosa la kuendesha gari na kumgonga mtu na kufa ni kosa linalohusu makosa ya barabarani au traffic case. Sheria zilizopo kwa kesi za traffic ni za kichekesho saana, unaambiwa adhabu yake kwa kosa la kugonga mtu na kuua haizidi faini ya shilingi laki moja au kwenda jela miaka miwili. Chenge kutozwa faini ya laki saba bado inaonesha kama hakimu kamkomoa vile. Kwa sheria kama zilivyo kwenye vitabu adhabu ni ndogo saaana. Ndio maana madereva wetu wa daladala hawajali saana kufanya makosa hata kugonga watu na kuwaua, sababu adhabu zake nyingi ni za faini na ukikosa faini ndio unafungwa. Unless kama sheria ingebadilika na adhabu kuwa ya kifungo tu bila faini labda mauaji ya kugongwa na magari barabarani yangepungua. So kwa Chenge kulipa faini tusimlaumu hakimu na wala hakuna mchezo mchafu wowote hapo bali ni sheria zetu ziko weak saana kwa makosa ya barabarani.
Hivi mkuu hii sheria mpaka leo iko hivi bado ?Cause kuna rafiki yangu amekumbwa na shida ya aina hii
 
Back
Top Bottom