hukumu kesi ya Chenge

Sheria zinasemaje kwa mtu aliyepatikana na kosa na kuhukumiwa na mahakama, je kazi yake ya ubunge ataendelea nayo?
 
Hivi mkuu hii sheria mpaka leo
Hivi mkuu hii sheria mpaka leo iko hivi bado ?Cause kuna rafiki yangu amekumbwa na shida ya aina hii
 
Bongo kuna wengine sheria haiwabani, lkn sheria inasemaje kwa dereva anayesababisha kifo kwa kumgonga mtu ? Naomba ufafanuzi kwa wanaojua sheria.
tunasheria ya kikoloni , uwe umegonga makusudi au bahati mbaya ,faini 150000....ONYO kaa mbali na service road
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…