kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Kwanini lazima awepo mtu wa kujiuzulu?
1. Mzee Kikwete aliishauri Yanga iachane na Morrison itafute Wachezaji wengine wa kuwachukua, alipuuzwa.
2. Wanachama na mashabiki waliaminishwa uongo na viongozi wao.
3. Mashabiki walikuwa na hamu kubwa kusikia majibu ya cas yakiwa positive kwa muda mrefu sana.
4. Wametumia fedha za club vibaya badala ya hela hiyo kutumika kujenga uwanja wa Kaunda.
5. Wamekula hela ya mfadhili kiboya kabisa.
6. Wamesababisha usumbufu kwa Morison, Simba, TFF, na kwa watanzania wengi.
7. Ili iwe fundisho kwa wengine wenye mawazo na akili kama hizi.