Dah nmefurahi kukuona tena hapa mwana kulitaka mwanakulipata!Waliambiwa na TFF kuwa mkataba una dosari hivyo Morrison ni mchezaji huru wao wakajitia U Much Know
Viongozi wa Yanga wasiachie ngazi ili Simba SC tuendelee kula Pweza Gizani..!
Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana.
Asante mkuu Pettymagambo tupo pamoja sana.Dah nmefurahi kukuona tena hapa mwana kulitaka mwanakulipata!
Ww Mbughila hakuna aibu katika Kushindwa kesi duniani kote
Tuma salamu kwa watu watatuUtopolo ndio mnajifariji hivyo sasa ee?
Aliyewaita nyani hakukosea yani...
Kitu ambacho Gongowazi anaweza kushinda ni ubishi tu na si vinginevyoWw Mbughila hakuna aibu katika Kushindwa kesi duniani kote
Ninasikiliza E FM na mchambuzi Jeffenglish kazungumza hivi hivi.Kwanini lazima awepo mtu wa kujiuzulu?
1. Mzee Kikwete aliishauri Yanga iachane na Morrison itafute Wachezaji wengine wa kuwachukua, alipuuzwa.
2. Wanachama na mashabiki waliaminishwa uongo na viongozi wao..
Nashukuru kwa taarifa Ndg. MwandishiKitu ambacho Gongowazi anaweza kushinda ni ubishi tu na si vinginevyo
Je huko CAS yupo Karia au...!?
huo utamaduni wa watu kujiuzulu ktk nchi hii ulianza lini na nani,hatutaki kiongozi wetu yoyote ajiuzulu [emoji2959][emoji2959]Kwanini lazima awepo mtu wa kujiuzulu?
1. Mzee Kikwete aliishauri Yanga iachane na Morrison itafute Wachezaji wengine wa kuwachukua, alipuuzwa.
2. Wanachama na mashabiki waliaminishwa uongo na viongozi wao.
3. Mashabiki walikuwa na hamu kubwa kusikia majibu ya cas yakiwa positive kwa muda mrefu sana.
4. Wametumia fedha za club vibaya badala ya hela hiyo kutumika kujenga uwanja wa Kaunda.
5. Wamekula hela ya mfadhili kiboya kabisa.
6. Wamesababisha usumbufu kwa Morison, Simba, TFF, na kwa watanzania wengi.
7. Ili iwe fundisho kwa wengine wenye mawazo na akili kama hizi.
Tunamiss sana nyuz zako za mechi ya timu pendwa kabisa hapa duniani yaan simba sc! navile vionjo vyako vyakulitaka mwana kulipewa vinatupaga mizuka sanaAsante mkuu Pettymagambo tupo pamoja sana.