BONGOLALA JF-Expert Member Joined Sep 14, 2009 Posts 16,508 Reaction score 11,897 Jan 18, 2013 #1 Nimeona mchina kakiri kutoa rushwa ya sh500000,kahuhukumiwa kifungo miaka 3 au faini sh 700000.kalipa faini anapeta huko china angenyongwa!
Nimeona mchina kakiri kutoa rushwa ya sh500000,kahuhukumiwa kifungo miaka 3 au faini sh 700000.kalipa faini anapeta huko china angenyongwa!
M mhondo JF-Expert Member Joined Apr 23, 2011 Posts 968 Reaction score 354 Jan 18, 2013 #2 Laumu Sheria na wabunge walioipitisha.