Hukumu ya bandari Mbeya yamuibuwa mwanazuoni mbobezi wa IGA duniani Johanne Poirier

Bonifasi Mwabukusi

hiyo inatosha. Hayo ya pupurie na porojo zake hayasaidii.

Watanganyika wanataka Nchi yao na Bandari yao.
 
CV yake imeshiba lakini kasemaje?
Huyu kenge ana jibu Basi.

Kanunua smart phone Jana mikono inawasha anapost kinachomjia kichwani.

Kichwa Cha habari na alichopost km vina uhusiano.

Empty set !
 
Sasa imemuibua kivipi?
 
Huyo mwanazuoni kasema nn kuhusu hukumu ya bandari.

Au si Wewe uliyeposti, au heading huioni.

Punguza umbumbumbu mkuu. Unajiaibisha!

Try to be smart!
. Kejeli zako zipite hivi. twende kwenye mada. Wewe ulikuwa ulishawahi hata kumsikia?
 
Siku zote nasemaga unawezaje kung'ang'ania kukupinga kitu ambacho wewe mwenyewe unajua kabisaa hapa sitoboiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…