Hukumu ya Basil Mramba na wenzake leo

TAWA

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
3,674
Reaction score
1,572
Hukumu ya aliyekuwa mbunge wa rombo ccm na mwenzake Daniel Yona kuhusu kesi ya kuisababishia serikali hasara ya shilingi bil 11.7 inatarajiwa kutolewa leo.

==============

Chanzo: Nipashe
 
Hao wazee naaamini Leo watashinda hiyo kesi
Tukae mkao wa kulipa fidia baada ya gvt kushindwa tena kesho hiyo
 
Leo Mahakama ya Kisutu inatarajiwa kutoa hukumu dhidi ya kesi inayowakabili Mramba na bwana Daniel Yona.

Chanzo:Nipashe
 
Leo Mahakama ya Kisutu inatarajiwa kutoa hukumu dhidi ya kesi inayowakabili Mramba na bwana Daniel Yona.

Chanzo:Nipashe

Itakuwa kama ile ya Balozi Profesa, kwani tayari ilisemwa yalikuwa maamuzi ya Baraza la mawaziri. Hasara ya kuendesha kesi hii ni sawa na kwenda kuangalia comedy isiyofurahisha. Ndio serikali ya wasanii hiyo.
 
Danganya toto tu hyo!
Utazimia tu,we subiri
 
Kesi yenyewe ilienda kortini kwa shinizo la wafadhili. Serikali haikuwa na nia. Hapo hukumu ni dhahiri!
 
Watalipa fidia ya milion mbili,na maisha yataendelea.hii ndo bongo.
 
...kama majaji wenyewe ndo hawa wenye kukalia viti vya mahakama huku wakiwa na kadi za ccm mfukoni, sitarajii jipya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…