only lawyers and painters can turn black into white
Nimesikia kwenye Radio Free Africa hapa Mwanza kuwa Chenge amehukumiwa Kifungo cha miaka 2 ama Faini ya Shs za kitanzania mia saba elfu tu, Shs 700,000/= ambapo amelipa palepale mahakamani.
Najiuliza hizi sheria zinafanyaje kazi , mbona ni kama kesi zinazofanana , tena Mallya alituhumiwa kuendesha gari bila leseni, wakati huyu Chenge, ametuhumiwa kwa Kosa la Kugonga na Kuua, na pia kuendesha gari bila Bima.
upi ulinganifu ulio sawa wa hukumu hizi Kisheria ?
Kumbuka kwamba hiyo ni traffic offence ina tofauti na kesi zingine za jinai.Kwani alishitakiwa kwa kosa la jinai? jamaa inawezekana hati ya mashitaka alijidraftia, pamoja na proceeding na hukumu, ni mawazo yangu tu!
Faini na kifungo viko at per ! lakini wanasheria ndio wanacheza hapo, kwani sheria iko kimya kama mtu amelipa faini!Hukumu ilikuwa kifungo cha mwaka mmoja au faini.
Huo mwaka mmoja unafutika kwa kulipa faini?
Ataendelea kuwa mbunge. Katiba inasema kuwa ubunge utakoma ikiwa kama angehukukiwa kifo au kufungwa zaidi ya miezi sita.
malya ni mlalahoi na chenge ni fisadi. malya alikuwa anaendesha gari la rafiki yake chach kwa ruhusa yake , chenge wale walikuwa wamemkataa. liseni ya udereva alikuwa nayo chenge ila alichakachua insurance a la ccm. kosa liko wapi kwa mwansheria mkuu mstaafu kusema uongo mahakani!!!
macincus
Kumbuka kwamba hiyo ni traffic offence ina tofauti na kesi zingine za jinai.
Ataendelea kuwa mbunge. Katiba inasema kuwa ubunge utakoma ikiwa kama angehukukiwa kifo au kufungwa zaidi ya miezi sita.