Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weledi wa sheria na katiba endeleeni kutujuza thread ya Mwanaukweli inaweza kutupa ufahamu mpana zaidi!
Hii ndo bongo mafisadi wanachezae na Maisha yetu kama wanavyotaka one day tutacheza na maisha yao pia.
jaman hivi uhai wa mtu kweli unadhaman ya laki saba kweli,kama ndo hivi mbona maskin sie wa kwa mfuga mbwa tumekwisha,
lakin wana jf mimi kwa ulewa wangu finyu sijaona kiongozi yoyote yule aliyewah kuhukumiwa jamii ikalizka ya wabongo,toka enzi za mandawa,labda huko mbele huenda yale yakina kaunda yakatokea
kabisaHivi siku ile ya ajali walimpima kama kapiga ulabu?? Kama hawakumpima then hapo ndio alipopiga bao....
only lawyers and painters can turn black into white