Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa yake Ng'wanangwa aliyeko jikoni amekuwa akituleta habari za uhakika kutoka jikoni kabisa Igunga wiki hii. Ameonyesha uwezo mkubwa wa kutoa habari kuliko hata watu wanaokula mshahara kwa kazi hiyo kama Gerald Hando na Ephraim Kibonde. Ingawa namba zake za simu hatujapewa hivyo hatuna uwezo wa kuwasiliana naye direct, tunategemea leo atakuwa nasi kupitia kwa Mami Ng'wanangwa kutupa news za kituo kwa kituo ili tujijumlishie wenyewe na kuanza kuingia mitaani huku tuliko kusherehekea ukombozi.
...............hatuwezi kutumia ndoto za wavuta bangi bwana.............