Nyakati zimebadilika. Wasiotenda haki hawatashinda forever. Lazima nguvu ya umma ishinde, nguvu ya haki. Wasiotenda haki wataendelea kumomonyoka kama nguzo iliyojengwa kwa udongo wa mfinyanzi mvua inyeshapo.
The same is happening elsewhere on earth- Zambia, Libya, Tunisia, Syria, Yemen, Egypt. Vox populi vox dei.Sauti ya wengi Sauti ya Mungu. Ole kwa mafisadi. Watu tumechoka na wizi wa waziwazi. Mtaanguka vibaya 2015.
Mungu mwenye haki asimamie haki ktk Igunga kwa vyovyote hata kama itagharimu damu ya wenye kiu ya haki kumwagika. Haki haipatkani bure, ni lazima ipiganiwe kwa damu au kwa amani- Mapambano ni lazima. Tusonge mbele.