mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,773
- 2,183
Pamoja na Mhe Mbowe na wenzake Kia chi wa guru baada ya DPP kueleza nia ya kutoendelea na kesi, je ile hukumu ya Jaji Tiganga iliyowakuta ya washtakiwa wana kesi ya kujibu inaweza kupatikana? Tunataka tuichambue hukumu hiyo kwenye vijiwe vyetu, kwenye vyama vya kitaaluma ya sheria, kwenye law schools na kwingineko. Hiyo hukumu tunaitaka. Jaji asitumie tamko la leo la DPP kuwa kichochoro cha kutotoa hukumu hiyo.