Hukumu ya Kesi ya Membe dhidi ya Cyprian Musiba yaahirishwa hadi Oktoba 28, 2021

Piga mpaka akae mpumbavu huyu.
Alitukana watu sana huyu
 
Musiba kapata siku za kupumua kidogo!! CCM ilikugeuka aisee unaweza kuona dunia ikufunike yeshee.

Ushauri: Musiba mtafute Membe myaongee ki-utu uzima - yanaongeleka mbona.
 
Maccm Yana shida sana,
Musiba alitumiwa na sukuma gang kuwachafua wenzie,JPM alipokufa tu,na yeye chali !!!kwishney!! Sasa aliowatukana wanamshitaki !!!
Ila kwa vile wote ni walewale,CCM,hii kitu imehailishwa Ili wajipange,kuwaokoa wote,Membe na Musiba,Ili uko mbele wanaweza wakawatumia kwenye kampeni
 
Watu tumeulamba ili tuje tusikilize kesi then wanahairisha
 
Hawa vijana waliongea sn jamani kaaah! Yule mwingine sijui yupo wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…