econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Mfanya biashara wa Vietnam mwanamama aliyehukumiwa kifo na mahakama ya Hoch Min City mwezi wa April kwa kosa la kughushi nyaraka na kujipatia fedha kiasi Cha Trillioni ishirini, na baadaye kukata Rufaa akitaka apunguziwe hukumu hiyo mpaka kifungo Cha maisha.
Baada ya kukata Rufaa Mahakama ya Rufaa ya Vietnam imethibisha hukumu ya kifo kwa mama huyo. Mahakama hiyo ya Rufaa imeenda mbali na kusema ili kutekeleza adhabu hiyo ya kifo mama huyo anatakiwa kuchomwa sindano ya sumu.
Kwa upande mwingine mahakama imempa nafasi ya kuepuka hukumu hiyo kama atafanikiwa kulipa kiasi Cha shilingi Trillioni 23,339,664,480,000 za kitanzania.
Ushauri. Utapeli ni mbaya Sana.