ulaya12
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 834
- 909
jaji ameichambua hii kesi kama Messi anavyowachambuaga mabeki na mwisho wa siku anapiga bao safi sana jaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Adhabu iliyotolewa kwa Mwalim muuaji ni muafaka kabisaWalimu hao licha ya kuwa wafunzaji lkn wamekuwa wajinga kwenye sheria zinazowahusu wao. Nadhan pia tuone namna ya kuingiza somo LA Sera na sheria kwa walimu pia fani zingine ili wajue kutimiza kwao majukumu kuendane na Sera pamoja na sheria zinaxowazunguka.
Kesi ilikuwa nyepesi ila mawakili wa utetezi wako shallow wameshindwa kuunda vizuri nma ya kukataa ushahidi ambao ulikuwa na utata kisawasawa pia maelezo yao na wateja wao bado yalikuwa shallow nampa credit mwakili was serikali ambaye ndiye kiini cha hukumu na mwenendo wa kesi,
Upande wa utetezi naamini haukujenga facts zilizoonekana kwenye maelezo ya judge mapema ili wazithibitishe vizuri na kubwa ni ile ya kukubali wfz alikuwa mzima kbla pamoja na mazingira ya kutelekezwa kwa mtoto.
Sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule wa Moshi aliyemuua mama yake kwa panga na kwenda kumzika amefutiwa kesiUkiisoma hii ndio utaelewa kwa nini jaji amehukumu kunyongwa. Safi sana jaji
1.Usiyaamini maneno ya watoto wanaojitetea kwenye kukwepa adhabu,wanaweza wakajitetea tu ili wasichapwe au baada ya kupigwa kwa muda mrefu wakaamua kumuangushia kesi mwenzao.Kitu kimoja ambacho wengi wetu tutapita kwenye huu uzi bila kutaka kujua, 1 Je wale watoto waliosema wamemuona huyo kijana aliuawa kuwa ndiye aliyechukua pochi mwisho wa siku walisemaje kuhusu kuhusika kwake? 2 Inaonekana mwalim alifungua pochi na kumlipa bodaboda, lakini baadaye alipokelewa kikapu chake vipi kuhusu waliompokea kikapu na kuhusika kwao? 3 Kwanini mwalim aliyeibiwa pochi akutwe hana hatia wakati yeye ndie chanzo kilichopelekea mauaji ya huyo kijana. Kwa yeyote aliyehusika na upotevu/wizi wa hiyo pochi nafsi/dhamira zitaendelea kumsuta hadi kifo chake.
Hiyo No.2 soma kwenye maelezo ya msingi1.Usiyaamini maneno ya watoto wanaojitetea kwenye kukwepa adhabu,wanaweza wakajitetea tu ili wasichapwe au baada ya kupigwa kwa muda mrefu wakaamua kumuangushia kesi mwenzao.
2.Maelezo ya mwalimu kufungua pochi ili kumlipa dereva wa bodaboda umeyatoa wapi?umehisi tu kwamba ndio utaratibu wa malipo kwa bodaboda ulivyo kwamba kwa mteja wa kike lazima atoe hela kwenye pochi au laaah?
3.Mwalimu wa kike ulitaka/ulifikirja angehukumiwa kwa kosa lipi au kesi ipi ikiwa kesi ya msingi ni MAUAJI (MURDER) na yeye wala siye aliyempiga mtoto hadi akamuua?
Nikuulize swali hapa,ikiwa wewe (mfano) pikipiki yako imeibiwa,wananchi wakamkamata mwizi wa pikipiki yako wakampiga na kumuua ,je wewe unakuwa umehusikia kwenye kumpiga huyo mwizi kisa tu ndiye aliyeiba pikipiki yako?
Ndivyo ilivyo kwa huyo madame,alihisi ameibiwa,akapeleka kesi kwa mwalimu mwenzie (labda ndiye mwalimu wa nidhamu-sina hakika)
Ukiona hivyo ujue Nchi haina maslahi na hiyo Kesi.Yule wa Moshi aliyemuua mama yake kwa panga na kwenda kumzika amefutiwa kesi
Ukiona hivyo ujue Nchi haina maslahi na hiyo Kesi.
Bali ina Maslahi na huyo Mtuhumiwa.
Nazani umenielewa.
🤣😆Ukiona hivyo ujue Nchi haina maslahi na hiyo Kesi.
Bali ina Maslahi na huyo Mtuhumiwa.
Nazani umenielewa.