Hukumu ya lema ilipikwa.

Tatizo hapa siyo Lema kupoteza UBUNGE, kwani UBUNGE utaipata tena. I believe CCM watakuwa hawajafuruhishwa na hii hukumu. Tatizo kubwa hapa hii HUKUMU iliyopikwa itaingia kwenye KUMBUKUMBU za Mahakama na itakuwa REFERRED whenever necessary. Hili ndiyo tatizo kubwa, kuna Watu watukuwa VICTIM wa JUDGMENT hii.
 
mwenyewe nilipigiwa simu na kigogo serikalini juzi akiniambia matokeo ya arusha yatabatilishwa lema sio mbunge tena.nikamwambia acha tuone kumbe kweli, jamani katiba ibadilishwe mahakama ziwe huru.

Tehe tehe tehe hiyo avator yako inastosha kabisa kumfanya Kigogo wa serikali ya Kikwete kufunguka juu ya hukumu ya Lema!:smile-big: tehe tehe tehe
 
Kinachosikitisha zaidi ni kushuka hadhi ya Mahakama na Majaji.
 

Jaji aliyejitoa katika kesi hii anaitwa Aloycius Mujulizi, ni mmiliki mwenza wa IMMMA advocates.

Huyu hakujitoa kwa kupenda, wakili wa Lema alimtaka ajitoe kwa sababu alisema CHADEMA iliwataja mafisadi katika kampuni ya IMMMA kabla mheshimiwa huyu hajapata ujaji, kwa hiyo walikuwa na hofu asingetenda haki kwa Lema.
 
Sasa nimepata jibu kwanini uchaguzi wa madiwani Arusha uliahirishwa. Hukumu hii ilijulikana muda mrefu na ndio maana wakaona uchaguzi wa madiwani uje uunganishwe na wa mbunge. But all in all we shall overcome! Yes we can!
 
Ningeshauri lema asikate rufa ili uchaguzi urudiwe. Nina imani lema atapita kwa kishindo kikubwa na ccm watakuja kujutia namaamuzi hayo.lema ni arusha
 

Tell them bcse of ndumu machalii wa arusha kama hamnazo vile
 



toka hapa,ndo maana jaji aliyetangulia aliikimbia kesi hii ya kihuni
 
Hii ndo shida ya Wanasheria 'mabishano'! Ingekuwa ni engineer gari haliwaki au jengo limeporomoka asingeficha makosa yake kama kwa huyu Mhe. Jaji. Anyway Lawyers waangalie kama kuna grounds za rufaa, ninaamini Wanaarusha watatenda haki kama utaitishwa uchaguzi mdogo.
 
Nani alikuambia mahakama tanzania inatoa HAKI? hakuna haki mahakama bila PESA
 


hawa watu walishanajisi jeshi la polisi sasa wanaingia mahakamani????2015 ni mbali!!!!!!
 
Sasa nimepata jibu kwanini uchaguzi wa madiwani Arusha uliahirishwa. Hukumu hii ilijulikana muda mrefu na ndio maana wakaona uchaguzi wa madiwani uje uunganishwe na wa mbunge. But all in all we shall overcome! Yes we can!
inaelekea walikuwa na matumaini makubwa sana kuwa wangeliweza kushinda uchaguzi wa Arumelu Mashariki ili hiyo kasi ambayo wangetoka nayo hapo iwe mtaji kwa Arusha mjini.

Kinachoonekana hapa Jaji 'aliandika' hukumu kabla ya juzi tarehe 1 April (Jumapili iliyopita) na imemuwia vigumu kuibadilisha maana matokeo ya Arumelu yanaonyesha picha nyingine.

Kilichoonekana basi ni aibu kwa mhimili huu ulio na msing mkuu kabisa yaani kutoa HAKI

 
kama vyombe vyote kama vile polisi, serikali na vyobo vyake kama vile PCCP, ect havitoi haki iweje mahakama iwe exceptional wakati ndo hao hao watanzania tunakaa nao mtaani, ndo serikali hiyo hiyo? Kwa ufupi ni kuwa hakuna haki mahakama za tanzania. Ukitaka hadi sharti uninunue kwa pesa. mahakimu huwa wanaandika hukumu mbili, ukitoa dawa zuri anaku favour otherwise anakutosa
 

hivi mkuu, hao jamaa waliomshtaki Lema wameathirika nini? Nikimtwanga swali mmojawapo anielezee namna alivyoathirika kweli ataweza? Mama muuza nyanya anadai ameathirika! Sio naleta dharau ila ukiangalia hapa unaona hakuna kesi kabisa.
 
Mimi namshauri Lema akate rufaa, atashinda tu, na hata akishindwa ktk rufaa, uchaguzi ukifanyika Arusha agombee na atashinda tena kwa kishindo zaidi
 
...mkuu hapa umenena yaliyo kweli,sasa ndo nmejua nini maana ya hukumu ya kupika...
 

ground za rufaa ni nyingi ila kwa mazingira haya hakuna wakili atamshauri mteja wake akate rufaa. Wakati baada yja miezi miwili tu uchaguzi unaitishwa na kwa mazingira ya Arusha CCM kushinda ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…