Hukumu ya lema ilipikwa.

Hukumu ya lema ilipikwa.

Hata kama ilipikwa.
Tunashukuru imeiva imepakuliwa na inaliwa sasa!
Hongera mahakimu na majaji mmetenda haki kwa Dr. Batilda.
lema ni racist na hafai katika taifa hili, huwezi gawa watu kwa misingi ya ukanda ,jinsia na udini.

Majuha utayajua tu,hata kufikiri kidogo ni shida.
 
Kinachonifurahisha ni kuwa CHADEMA WATASHINDA TENA i swear to god! kura elfu arobain kwa ishirini sio mchezo, tena lema anaakili sana hakuna haja ya kuappeal hivi jimbo lipo wazi ndani ya siku sitini uchaguzi utafanyika na pesa za walipa kozi zitakuwa zimepotea bila sababu maana lema atarudi tena kuwa mbunge mwe ccm akili zenu duni kufikiri lol!
 
Ngoja tusubiri hukumu ya jimbo la Segerea, maana huko hata mashahidi wa utetezi wanammaliza Makongoro.

Ukiondoa kesi ya Makongoro, kwa nini kesi za CDM tu ndio wamezikomalia?

Ila wajue wanajijengea uadui na Mungu
 
Tangu jana nilielezea kwamba nimepata taarifa kuvuja kwa hukumu ya mh Lema. Mods aliunganisha link yangu na nyingine zilizokuwa zinashabihana na hilo. Kitaaluma mimi ni mwanasheria na hakika kila mwenye taaluma hii na aliyekuwa akifuatilia kesi atabaki mdomo wazi juu ya hukumu iliyotolewa. Huyu jaji alichofanya ni kucheza na akili za watu, na nina uhakika alikua na hukumu mbili mkononi.

Hata mwanafunzi wa sheria mwaka wa kwanza anajua kwamba katika 'tort' ili kosa lionekane limetendwa ni lazima aliyetuhumiwa athibitishe ameathirikaje na hizo tuhuma. Inakuwaje 3rd party ndo athibitishe hilo?

Batlida hajawahi kuja mahakamani. Kesi hii inaandika historia katika mhimili wa mahakama juu ya uhuru wake. Kuna haja ya majaji katika mahakama kuu kufanyiwa enterview kama kule kenya wanavyofanya. Hii hukumu imenikumbusha mengi katika tasnia ya sheria, daima itabaki kuwa kumbukumbu mbovu kwenye mhimili wa mahakama.

Namwonea huruma huyo JAJI ktk mambo mawili;

1. Historia itakuja kumuhukumu

2. Sina uhakika sana na usalama wake na familia yake....Tusubiri.
 
My learned friend, what kind of tort are you talking about? Go and dig deeper, there are precedents which may make an adjudicator dispense with such a general rule. Furthermore, the complainants were the ones needed to prove, the insulted person was just to be a witness needed not to prove damage on herself rather than proving the words were uttered. There was no need of calling her if the evidence adduced sufficed to convict the way the complainant contemplated. For example if I utter abusive words to your father at your presence, will you fail to prove damage or injury upon yourself? As you will be the complainant, your father's role will be to prove that there were such abusive words. Scout around my fellow learned friend.

Was Batlida called before the Court to testify and prove if such abusive words were uttered against her by Lema..?
 
hivi mkuu, hao jamaa waliomshtaki Lema wameathirika nini? Nikimtwanga swali mmojawapo anielezee namna alivyoathirika kweli ataweza? Mama muuza nyanya anadai ameathirika! Sio naleta dharau ila ukiangalia hapa unaona hakuna kesi kabisa.

Ok, sijajua waliathirika kwa kitu gani kwa sababu sijaiona hukumu ila nilikuwa napinga usemi wa kwamba kwa kuwa Badilda hakutoa ushahidi wake kuonesha madhara aliyopata basi Jaji asingeweza kutoa hukumu ya vile. Naona unakubaliana nami iwapo hawa walalamikaji waliweza kuthibitisha madhara ya matusi ya Lema kwao wenyewe na kwa jamii husika basi isingehitajika ulazima wa Badilda kwenda kutoa ushahidi.
 
Huyu hakujitoa kwa kupenda, wakili wa Lema alimtaka ajitoe kwa sababu alisema CHADEMA iliwataja mafisadi katika kampuni ya IMMMA kabla mheshimiwa huyu hajapata ujaji, kwa hiyo walikuwa na hofu asingetenda haki kwa Lema.

Swadakta, nami najua hivyo, ila nilikuwa nampa jina la jaji huyo muuliza swali. Mujulizi kapewa ujaji kama fadhila toka kwa Baba Riz kwa sababu ndiye aliyefanikisha mzigo wa EPA kupitia kampuni tajwa hapo juu. Fadhila ya pili kwa kampuni hiyo hiyo ilienda kwa uwaziri wa Law Masha kabla hajapigwa chini ktk uchaguzi wa mwaka juzi
 
Was Batlida called before the Court to testify and prove if such abusive words were uttered against her by Lema..?

There was no need of calling her as she did not attend to meetings which Lema was campaigning. However I THINK the court holding that the evidence adduced was sufficient be questioned. But because me and you have not read that judgement we are not aware of what evidence has implicated Hon. Lema to such decision.
 
Tangu jana nilielezea kwamba nimepata taarifa kuvuja kwa hukumu ya mh Lema. Mods aliunganisha link yangu na nyingine zilizokuwa zinashabihana na hilo. Kitaaluma mimi ni mwanasheria na hakika kila mwenye taaluma hii na aliyekuwa akifuatilia kesi atabaki mdomo wazi juu ya hukumu iliyotolewa. Huyu jaji alichofanya ni kucheza na akili za watu, na nina uhakika alikua na hukumu mbili mkononi.

Hata mwanafunzi wa sheria mwaka wa kwanza anajua kwamba katika 'tort' ili kosa lionekane limetendwa ni lazima aliyetuhumiwa athibitishe ameathirikaje na hizo tuhuma. Inakuwaje 3rd party ndo athibitishe hilo?

Batlida hajawahi kuja mahakamani. Kesi hii inaandika historia katika mhimili wa mahakama juu ya uhuru wake. Kuna haja ya majaji katika mahakama kuu kufanyiwa enterview kama kule kenya wanavyofanya. Hii hukumu imenikumbusha mengi katika tasnia ya sheria, daima itabaki kuwa kumbukumbu mbovu kwenye mhimili wa mahakama.

Mimi mwenyewe nimeshangazwa sana na hukumu hiyo kwani kwa elimu ya sheria ya miaka mitatu niliyonayo mpaka sasa hata siku moja huwezi kutukia ushaidi wa 3rd party kumhukumu mtu kwa makosa ya tort, ni kama vile mhindi akutemee mate ya pariki halafu rafiki yako akashitaki na kudhibitisha mahakamani kwamba mate yalikuunguza, but hii ilionekana from the beginning kwani ndiyo sababu kubwa iliyomfanya jaji aliyekuwa anasikiliza kesi hiyo awali ajitoe mnamo tarehe 6 february mwaka huu kwa kusema siwezi kusikiliza na kutoa maamuzi ya kesi kama hii.

Hii ilikuwa kesi ya tort? Kweli Tanzania tuna wanasheria. Kasomeni Sheria ya Uchaguzi ya mwaka 1985 kwanza mje mbadilishe huu upotoshaji mkubwa.
 
Tangu jana nilielezea kwamba nimepata taarifa kuvuja kwa hukumu ya mh Lema. Mods aliunganisha link yangu na nyingine zilizokuwa zinashabihana na hilo. Kitaaluma mimi ni mwanasheria na hakika kila mwenye taaluma hii na aliyekuwa akifuatilia kesi atabaki mdomo wazi juu ya hukumu iliyotolewa. Huyu jaji alichofanya ni kucheza na akili za watu, na nina uhakika alikua na hukumu mbili mkononi.

Hata mwanafunzi wa sheria mwaka wa kwanza anajua kwamba katika 'tort' ili kosa lionekane limetendwa ni lazima aliyetuhumiwa athibitishe ameathirikaje na hizo tuhuma. Inakuwaje 3rd party ndo athibitishe hilo?

Batlida hajawahi kuja mahakamani. Kesi hii inaandika historia katika mhimili wa mahakama juu ya uhuru wake. Kuna haja ya majaji katika mahakama kuu kufanyiwa enterview kama kule kenya wanavyofanya. Hii hukumu imenikumbusha mengi katika tasnia ya sheria, daima itabaki kuwa kumbukumbu mbovu kwenye mhimili wa mahakama.

Me si mwanasheria ila tu kwa kifupi mtu yeyeote tu akifuatilia mwanzo wa kesi hii ya lema kwa hao third party kutoa ushahidi wao haunipi maelezo tosha kabisa inakuwa kama walipika vile kama kweli hao 3rd party walifungua kesi na kutoa ushahidi yet muhusika mkuu alistahiri kuja kutoa ushahidi nae.

Pili tuanomba Jaji atupe wakala wa hukumu yake wananchi tuuone maana Majaji ndio wanatutua aibu au ndio wanao tuambia tuibadili nchi sisi wenyewe kwa kura za demokrasia.

Kwa nchi changa namna hii juzi tuu walimu hawajalipwa mishahara yao tukaingia kwenye chaguzi za Arumeru Mashari pesa ni nyingi hapo inatumika, leo tena Lema mwamtoa ubunge July twaingia tena uchaguzi na huu ndio utakuwa history inajirudia tena kwa wana arusha CHADEMA itashinda kwa kishindo kikubwa wale wanao penda pesa haswa hswa wale wana CCM njaaaa wasubutu kuchukuwa rushwa.

My Take;

Kampeni ya kurudia uchaguzi jimbo la arusha mjini mmoja itakuwa kampeni chafu na mbaya kuliko zote au itakuwa kampeni nzuri na kuweka historia nchini kati ya wana CHADEMA na CCM

Hata kama ilipikwa.
Tunashukuru imeiva imepakuliwa na inaliwa sasa!
Hongera mahakimu na majaji mmetenda haki kwa Dr. Batilda.
lema ni racist na hafai katika taifa hili, huwezi gawa watu kwa misingi ya ukanda ,jinsia na udini.

Unaishi nyumba ya Vioo,usitupe mawe.Kumbuka ni CCM ndio mlianza kwa Ubaguzi.Mlisema Bashe sio Raia(Utaifa),kisa anabifu na Rizwani Jakaya Kikwete,so kumplease Baba Mwanaasha mkamvua haki yake kugombea Ubunge.Lakini Bakwata iliwasaidia kushinda Igunga(Udini).Baraza la Vijana UVCCM-Pwani Mbele ya Rizwani mlisema Rais ajaye hatatoka Kaskazini(Ukanda),vyote mliasisi wenyewe,sasa mnaona nongwa?Bahati mbaya Arusha Bakwata haina nguvu kama tulivyoona Arumeru,labda pale karibu na Msikiti wa Bondeni,lakini namna nyingine mnatafuta aibu tu Arusha!!
 
My learned friend, what kind of tort are you talking about? Go and dig deeper, there are precedents which may make an adjudicator dispense with such a general rule. Furthermore, the complainants were the ones needed to prove, the insulted person was just to be a witness needed not to prove damage on herself rather than proving the words were uttered. There was no need of calling her if the evidence adduced sufficed to convict the way the complainant contemplated. For example if I utter abusive words to your father at your presence, will you fail to prove damage or injury upon yourself? As you will be the complainant, your father's role will be to prove that there were such abusive words. Scout around my fellow learned friend.

Sir/ Madam:
I beg to lay my way of telling about "Tort".., well said by you that " Batilda was to be a witness provided she was to be called before the court", But, mfano uliotoa kuhusu Baba na Mtoto is very relevant...na je does the same rule apply to people who are not closely related by either (lets say) blood, marriage, working relationship or any other case (so far)?

Umesahau kuorodhesha elements za defamation na kuprove hizo elements zote. To be honest, the case is not real tangu lini ukafungua kesi ya matusi kwa niaba ya mtu mwingine, kilichotakiwa ni kwa Dr. Batilda afungue kesi halafu hao watu waje kama mashahidi, yeye (Batilda) ndiye anafit na kufili maamivu ya matusi na sio vinginevyo, thinking the other way in this case is being corrupt.
 
tangu jana nilielezea kwamba nimepata taarifa kuvuja kwa hukumu ya mh lema. Mods aliunganisha link yangu na nyingine zilizokuwa zinashabihana na hilo. Kitaaluma mimi ni mwanasheria na hakika kila mwenye taaluma hii na aliyekuwa akifuatilia kesi atabaki mdomo wazi juu ya hukumu iliyotolewa. Huyu jaji alichofanya ni kucheza na akili za watu, na nina uhakika alikua na hukumu mbili mkononi.

Hata mwanafunzi wa sheria mwaka wa kwanza anajua kwamba katika 'tort' ili kosa lionekane limetendwa ni lazima aliyetuhumiwa athibitishe ameathirikaje na hizo tuhuma. Inakuwaje 3rd party ndo athibitishe hilo?

Batlida hajawahi kuja mahakamani. Kesi hii inaandika historia katika mhimili wa mahakama juu ya uhuru wake. Kuna haja ya majaji katika mahakama kuu kufanyiwa enterview kama kule kenya wanavyofanya. Hii hukumu imenikumbusha mengi katika tasnia ya sheria, daima itabaki kuwa kumbukumbu mbovu kwenye mhimili wa mahakama.

ninaingiwa hofu na majaji wa sasa ipo haja ya kuwafanyia interview kama kenya, katika hili tusubili pia hukumu kesi inayo endeshwa na majaji sumbawanga mjini kati ya chadema na ccm
 
My learned friend, what kind of tort are you talking about? Go and dig deeper, there are precedents which may make an adjudicator dispense with such a general rule. Furthermore, the complainants were the ones needed to prove, the insulted person was just to be a witness needed not to prove damage on herself rather than proving the words were uttered. There was no need of calling her if the evidence adduced sufficed to convict the way the complainant contemplated. For example if I utter abusive words to your father at your presence, will you fail to prove damage or injury upon yourself? As you will be the complainant, your father's role will be to prove that there were such abusive words. Scout around my fellow learned friend.
wanasheria nao kujifanyia 'learned' zaidi ya wengine?! Sasa wewe unatuletea vingereza na torts za kwenye wikipedia! Ndo mnaochuuza nchi yetu,lakn kwa arusha wembe utakaotumika ni uleule wa arumeru. Haujaisha makali.
 
Me si mwanasheria ila tu kwa kifupi mtu yeyeote tu akifuatilia mwanzo wa kesi hii ya lema kwa hao third party kutoa ushahidi wao haunipi maelezo tosha kabisa inakuwa kama walipika vile kama kweli hao 3rd party walifungua kesi na kutoa ushahidi yet muhusika mkuu alistahiri kuja kutoa ushahidi nae.

Kwani aliyeshtaki ni nani?
 
PESAA ZINAWEZA NUNUA MTU MMOJA MOJA LAKINI SI UMMA,kama LOWASA Alivyoshindwa kumuweka Mkwee Sioi madarakani,ni kwa sababu Umma unanguvu kuliko Pesa yake Lowasa.ndivyo hivyo itakavyokuwa Arusha ,wameweza kumnunua Jaji lakini hawawezi kuwanunua Wapiga kura wa Arusha .
 
Nafikiri hauko sahihi kwa maneno haya, ningetegemea uje na hoja nzuri tu kuelezea kuhusu thread hii. Hebu jaribu kurudia kusoma tena huu mchango wako utafakari kwa makini kama umeandika vizuri.

Tatizo mleta mada anayedai ni mwanasheria badala ya kuipeleka mada jukwaa la sheria kaileta jukwaa la siasa. Kwa hiyo comments huku ni za kisiasa tuu. Whether or not kesi imepikwa ni kweli kwamba hii ni kesi ya tort?
 
Back
Top Bottom