Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Nime like post hii na sasa nakupongeza kwa kauli yako hii thabiti.Wamuachie aje uraiani tuweze kujilipia visasi;
damu kwa damu
jino kwa jino
kisu kwa kisu
smg kwa SMG
No way
Ilifaa kuwa hata akiachiwa amuombe Hakimu kuwa "naomba nirudi jela kule nitakuwa salama kuliko mtaani"