GlorytoGod
Senior Member
- Sep 8, 2012
- 158
- 50
huo mstari wa mwisho hatujajua unataka ujiandae vipi!!!fafanua unatutishawanajamvi heshima kwenu,
napenda kuuliza ile hukumu ya mbunge wetu godbless lema ni lini maana tunasubiri kwa hamu maana tunaona kimya kimezidi,
kwa anayejua ni lini makamanda tupashane ili tujiandae
Hukumu ilishatolewa na jaji Rwakibalira. Ruling pia ilishatolewa. Kesi ya msingi ndio itakayoanza kusikilizwa hivi karibuni.
Wanajamvi heshima kwenu,
Napenda kuuliza ile hukumu ya mbunge wetu Godbless Lema ni lini maana tunasubiri kwa hamu maana tunaona kimya kimezidi.
Kwa anayejua ni lini makamanda tupashane ili tujiandae.
mjiandae kufanya nini? ohooo
Mkuu una uhakika kuwa Quran inasema hivyo?Kuruani na Biblia vinasema,Muwe tayari wakati unaofaa na wakati usiofaa.