Hukumu ya mbunge Godbless Lema

Hukumu ya mbunge Godbless Lema

GlorytoGod

Senior Member
Joined
Sep 8, 2012
Posts
158
Reaction score
50
Wanajamvi heshima kwenu,

Napenda kuuliza ile hukumu ya mbunge wetu Godbless Lema ni lini maana tunasubiri kwa hamu maana tunaona kimya kimezidi.

Kwa anayejua ni lini makamanda tupashane ili tujiandae
.
 
wanajamvi heshima kwenu,

napenda kuuliza ile hukumu ya mbunge wetu godbless lema ni lini maana tunasubiri kwa hamu maana tunaona kimya kimezidi,

kwa anayejua ni lini makamanda tupashane ili tujiandae
huo mstari wa mwisho hatujajua unataka ujiandae vipi!!!fafanua unatutisha
 
Hukumu ilishatolewa na jaji Rwakibalira. Ruling pia ilishatolewa. Kesi ya msingi ndio itakayoanza kusikilizwa hivi karibuni.
 
Hukumu ilishatolewa na jaji Rwakibalira. Ruling pia ilishatolewa. Kesi ya msingi ndio itakayoanza kusikilizwa hivi karibuni.

CCM.. sorry Mahakama itamvua tu ubunge kamanda wetu...

Sijui tuwafanyeje hawa!!!
 
Wanajamvi heshima kwenu,

Napenda kuuliza ile hukumu ya mbunge wetu Godbless Lema ni lini maana tunasubiri kwa hamu maana tunaona kimya kimezidi.

Kwa anayejua ni lini makamanda tupashane ili tujiandae
.

mjiandae kufanya nini? ohooo
 
utafahamishwa na wahusika wakati ukifika usiwe na haraka pia ckiliza vyombo vya habari.
 
Hukumu ya Rufaa ya Lema itakua tar 4 12 2012 Dar Tulianza na Mungu tutamaliza na Mungu,wana CHADEMA wa Dar mjitokeze kwa wingi na pia upatapo taarifa hizo wajulishe na wengine, pia Dua zenu na sala ili Mungu peke yake akaukumu kwa haki, Mungu mbariki Lema Mungu ibariki CHADEMA,kama mbivu au mbichi poa tuko tayari kwa lolote,V itabu vitakatifu Kuruani na Biblia vinasema,Muwe tayari wakati unaofaa na wakati usiofaa.
 
Back
Top Bottom