lutajangurwa
Senior Member
- Sep 21, 2019
- 126
- 172
Hariri uzi wako.Unaweza ukakubali kwamba, kweli TFF ni Simba damu damu. Haiingii akilini, kwa TFF kutoa adhabu kali kwa Morison nyakati kama hizi. Morison ni winga wa kutegemewa kwa Yanga. Na mtihani walionao Yanga kwenye AFCON ni mgumu.
Swali la kujiuliza, inakuwaje TFF inatoa adhabu kali kama hii wakati huu? Je, ni kweli TFF haifurahii mafanikio ya Yanga? Sasa tujiulize, Yanga ikishida kimataifa, si ni sifa kwa Taifa? Mbona inaonekana TFF haifurahii. Kuna nini? Tumeona figisu la Manara, Kisinda na hata mechi anazocheza Yanga kimataifa, TFF haiwapongezi. Hapo lazima kuna jambo.
Ifike maharishi TFF watambue nafasi yao.View attachment 2370215
Ukitoka usingizini hakikisha umesali ili kuondoa mapepo yaliyokuingia ndotoni!Unaweza ukakubali kwamba, kweli TFF ni Simba damu damu. Haiingii akilini, kwa TFF kutoa adhabu kali kwa Morison nyakati kama hizi. Morison ni winga wa kutegemewa kwa Yanga. Na mtihani walionao Yanga kwenye AFCON ni mgumu.
Swali la kujiuliza, inakuwaje TFF inatoa adhabu kali kama hii wakati huu? Je, ni kweli TFF haifurahii mafanikio ya Yanga? Sasa tujiulize, Yanga ikishida kimataifa, si ni sifa kwa Taifa? Mbona inaonekana TFF haifurahii. Kuna nini? Tumeona figisu la Manara, Kisinda na hata mechi anazocheza Yanga kimataifa, TFF haiwapongezi. Hapo lazima kuna jambo.
Ifike maharishi TFF watambue nafasi yao.View attachment 2370215
Yanga na AFCON? Kweli huko wenye.... ni wawili tu, pili adhabu haiangalii unaenda kukutana na naniUnaweza ukakubali kwamba, kweli TFF ni Simba damu damu. Haiingii akilini, kwa TFF kutoa adhabu kali kwa Morison nyakati kama hizi. Morison ni winga wa kutegemewa kwa Yanga. Na mtihani walionao Yanga kwenye AFCON ni mgumu.
Swali la kujiuliza, inakuwaje TFF inatoa adhabu kali kama hii wakati huu? Je, ni kweli TFF haifurahii mafanikio ya Yanga? Sasa tujiulize, Yanga ikishida kimataifa, si ni sifa kwa Taifa? Mbona inaonekana TFF haifurahii. Kuna nini? Tumeona figisu la Manara, Kisinda na hata mechi anazocheza Yanga kimataifa, TFF haiwapongezi. Hapo lazima kuna jambo.
Ifike maharishi TFF watambue nafasi yao.View attachment 2370215
Slip of a tongue [emoji13]Yanga na AFCON? Kweli huko wenye.... ni wawili tu, pili adhabu haiangalii unaenda kukutana na nani
Huyu kateleza akili na vidoleSlip of a tongue [emoji13]
Utaelewa tu. Sasa Prezda na bi mkubwa ndo wameteuliwa huko, Yanga watakoma. Adhabu kitaifa na kimataifa.Haaa haa mchambuzi mpya huyu
kulalamika ni haki yake, hata wew mmeo asipokukuna vizuri utalalamikaIla Uto jiepusheni na aibu ndogo ndogo mmezidi sasa 🚮🚮🚮 kila kitu mnalalamika
Malalamiko ni dalili ya udogo.Unaweza ukakubali kwamba, kweli TFF ni Simba damu damu. Haiingii akilini, kwa TFF kutoa adhabu kali kwa Morison nyakati kama hizi. Morison ni winga wa kutegemewa kwa Yanga. Na mtihani walionao Yanga kwenye CAF ni mgumu.
Swali la kujiuliza, inakuwaje TFF inatoa adhabu kali kama hii wakati huu? Je, ni kweli TFF haifurahii mafanikio ya Yanga? Sasa tujiulize, Yanga ikishida kimataifa, si ni sifa kwa Taifa? Mbona inaonekana TFF haifurahii. Kuna nini? Tumeona figisu la Manara, Kisinda na hata mechi anazocheza Yanga kimataifa, TFF haiwapongezi. Hapo lazima kuna jambo.
Ifike maharishi TFF watambue nafasi yao.View attachment 2370215
Sawa mke mkubwa nimekuelewakulalamika ni haki yake, hata wew mmeo asipokukuna vizuri utalalamika
Bandiko bovu kabisa la siku!Msukuma kavamia forum. Shenzi kabisa
Nendeni CAS mkaishtaki kama kawaida yenu. Mnatia kinyaa kila siku mayowe tu mbona hamjiamini?Unaweza ukakubali kwamba, kweli TFF ni Simba damu damu. Haiingii akilini, kwa TFF kutoa adhabu kali kwa Morison nyakati kama hizi. Morison ni winga wa kutegemewa kwa Yanga. Na mtihani walionao Yanga kwenye CAF ni mgumu.
Swali la kujiuliza, inakuwaje TFF inatoa adhabu kali kama hii wakati huu? Je, ni kweli TFF haifurahii mafanikio ya Yanga? Sasa tujiulize, Yanga ikishida kimataifa, si ni sifa kwa Taifa? Mbona inaonekana TFF haifurahii. Kuna nini? Tumeona figisu la Manara, Kisinda na hata mechi anazocheza Yanga kimataifa, TFF haiwapongezi. Hapo lazima kuna jambo.
Ifike maharishi TFF watambue nafasi yao.View attachment 2370215
Mtindio wa ubongo unahusika hapaSlip of a tongue [emoji13]