Hukumu ya Morison ni kinyaa

Hukumu ya Morison ni kinyaa

lutajangurwa

Senior Member
Joined
Sep 21, 2019
Posts
126
Reaction score
172
Unaweza ukakubali kwamba, kweli TFF ni Simba damu damu. Haiingii akilini, kwa TFF kutoa adhabu kali kwa Morison nyakati kama hizi. Morison ni winga wa kutegemewa kwa Yanga. Na mtihani walionao Yanga kwenye CAF ni mgumu.

Swali la kujiuliza, inakuwaje TFF inatoa adhabu kali kama hii wakati huu? Je, ni kweli TFF haifurahii mafanikio ya Yanga? Sasa tujiulize, Yanga ikishida kimataifa, si ni sifa kwa Taifa? Mbona inaonekana TFF haifurahii. Kuna nini? Tumeona figisu la Manara, Kisinda na hata mechi anazocheza Yanga kimataifa, TFF haiwapongezi. Hapo lazima kuna jambo.

Ifike maharishi TFF watambue nafasi yao.
Screenshot_20220928-060438_Chrome.jpg
 
Unaweza ukakubali kwamba, kweli TFF ni Simba damu damu. Haiingii akilini, kwa TFF kutoa adhabu kali kwa Morison nyakati kama hizi. Morison ni winga wa kutegemewa kwa Yanga. Na mtihani walionao Yanga kwenye AFCON ni mgumu.

Swali la kujiuliza, inakuwaje TFF inatoa adhabu kali kama hii wakati huu? Je, ni kweli TFF haifurahii mafanikio ya Yanga? Sasa tujiulize, Yanga ikishida kimataifa, si ni sifa kwa Taifa? Mbona inaonekana TFF haifurahii. Kuna nini? Tumeona figisu la Manara, Kisinda na hata mechi anazocheza Yanga kimataifa, TFF haiwapongezi. Hapo lazima kuna jambo.

Ifike maharishi TFF watambue nafasi yao.View attachment 2370215
Hariri uzi wako.
 
Ukitoka usingizini hakikisha umesali ili kuondoa mapepo yaliyokuingia ndotoni!
 
Unaweza ukakubali kwamba, kweli TFF ni Simba damu damu. Haiingii akilini, kwa TFF kutoa adhabu kali kwa Morison nyakati kama hizi. Morison ni winga wa kutegemewa kwa Yanga. Na mtihani walionao Yanga kwenye AFCON ni mgumu.

Swali la kujiuliza, inakuwaje TFF inatoa adhabu kali kama hii wakati huu? Je, ni kweli TFF haifurahii mafanikio ya Yanga? Sasa tujiulize, Yanga ikishida kimataifa, si ni sifa kwa Taifa? Mbona inaonekana TFF haifurahii. Kuna nini? Tumeona figisu la Manara, Kisinda na hata mechi anazocheza Yanga kimataifa, TFF haiwapongezi. Hapo lazima kuna jambo.

Ifike maharishi TFF watambue nafasi yao.View attachment 2370215
Yanga na AFCON? Kweli huko wenye.... ni wawili tu, pili adhabu haiangalii unaenda kukutana na nani
 
Unaweza ukakubali kwamba, kweli TFF ni Simba damu damu. Haiingii akilini, kwa TFF kutoa adhabu kali kwa Morison nyakati kama hizi. Morison ni winga wa kutegemewa kwa Yanga. Na mtihani walionao Yanga kwenye CAF ni mgumu.

Swali la kujiuliza, inakuwaje TFF inatoa adhabu kali kama hii wakati huu? Je, ni kweli TFF haifurahii mafanikio ya Yanga? Sasa tujiulize, Yanga ikishida kimataifa, si ni sifa kwa Taifa? Mbona inaonekana TFF haifurahii. Kuna nini? Tumeona figisu la Manara, Kisinda na hata mechi anazocheza Yanga kimataifa, TFF haiwapongezi. Hapo lazima kuna jambo.

Ifike maharishi TFF watambue nafasi yao.View attachment 2370215
Malalamiko ni dalili ya udogo.

Wakubwa huwa hawalalamiki kwa sababu wao ni wakubwa
 
Unaweza ukakubali kwamba, kweli TFF ni Simba damu damu. Haiingii akilini, kwa TFF kutoa adhabu kali kwa Morison nyakati kama hizi. Morison ni winga wa kutegemewa kwa Yanga. Na mtihani walionao Yanga kwenye CAF ni mgumu.

Swali la kujiuliza, inakuwaje TFF inatoa adhabu kali kama hii wakati huu? Je, ni kweli TFF haifurahii mafanikio ya Yanga? Sasa tujiulize, Yanga ikishida kimataifa, si ni sifa kwa Taifa? Mbona inaonekana TFF haifurahii. Kuna nini? Tumeona figisu la Manara, Kisinda na hata mechi anazocheza Yanga kimataifa, TFF haiwapongezi. Hapo lazima kuna jambo.

Ifike maharishi TFF watambue nafasi yao.View attachment 2370215
Nendeni CAS mkaishtaki kama kawaida yenu. Mnatia kinyaa kila siku mayowe tu mbona hamjiamini?
 
Back
Top Bottom