Hukumu ya Morison ni kinyaa

Kwenye chupi umejaa kinyesi.
 
Sasa tujiulize, Yanga ikishida kimataifa, si ni sifa kwa Taifa? Mbona inaonekana TFF haifurahii.
Adhabu ya Morrison inahusu mechi zinazosimamiwa na TFF, yaani NBC PL na ASFC. Sasa iweje adhabu za mechi za ligi uzungumzie Yanga kushinda kimataifa?Morison asipocheza mechi za CAF itakuwa ni sababu nyingine (either leseni ya CAF au uamuzi wa kocha), kwa hiyo kuilaumu TFF kwa Morrison kutocheza ni upumbavu tu wa mashabiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…