Unaweza ukakubali kwamba, kweli TFF ni Simba damu damu. Haiingii akilini, kwa TFF kutoa adhabu kali kwa Morison nyakati kama hizi. Morison ni winga wa kutegemewa kwa Yanga. Na mtihani walionao Yanga kwenye CAF ni mgumu.
Swali la kujiuliza, inakuwaje TFF inatoa adhabu kali kama hii wakati huu? Je, ni kweli TFF haifurahii mafanikio ya Yanga? Sasa tujiulize, Yanga ikishida kimataifa, si ni sifa kwa Taifa? Mbona inaonekana TFF haifurahii. Kuna nini? Tumeona figisu la Manara, Kisinda na hata mechi anazocheza Yanga kimataifa, TFF haiwapongezi. Hapo lazima kuna jambo.
Ifike maharishi TFF watambue nafasi yao.
View attachment 2370215