Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
HUKUMU YA MZEE SADALLA JUMA SADALLA (74) ALIYEMBAKA MSICHANA WA KAZI ZANZIBAR,ITASOMWA SIKU YA JUMATATU 21 MACHI 2022 KATIKA MAHAKAMA UA VUGA,UNGUJA.
Mzee Sadalla Juma Sadalla (74)mkazi wa Bububu,Unguja anayeshitakiwa kwa kosa la kumbaka mshichana wake kazi (jina limeifadhiwa) atarajiwa kufikishwa tena katika mahakama ya Vuga,mjini Unguja kwa ajili ya hukumu,baada ya mahakama kukamilisha kusikiliza ushahidi wa pande zote mbili. Mzee Sadalla Juma Sadalla mkazi wa bububu,Unguja alitiwa nguvuni kwa makosa ya kubaka binti wa miaka 15 ambaye ni mfanyakazi wake wa ndani na kama mahakama itamtia hatiani basi hukumu yake inaweza kuwa kifungo cha miaka 30 au zaidi jela.
Katika juhudi la kukomesha vitendo vya ubakaji na udhalalishaji viwani Zanzibar,serikali ya mapinduzi ya Zanzibar na vyombo vya ulinzi vinajitahidi kuwafikisha mbele ya sheria wale wote watakaotenda makosa hayo ya ubakaji na udhalilishaji.
Mshitakiwa Sadalla Juma Sadalla alilalamikiwa na wanaharakati visisiwani Zanzibar kuwa ni mzoefu katika vitendo vya ubakaji pamoja na udhalalishaji na alipombaka msichana wake wa kazi mwenye umri wa miaka 15 ,alikuwa yupo huru na alipanga kuondoka unguja kukimbia kesi hiyo baadhi ya majirani zake walisika lakini vyombo vya usalama viliwahi kumshika na hatimaye kumpeleka mahakamani.
Mshitakiwa Sadalla Juma Sadalla yupo mahabusu kwa kuwa shitaka la kubaka,udhalalishaji halina dhamana .
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt.Hussein Ally Mwinyi imepania kukomesha vitendo vyote vya Ubakaji na udhalalishaji,pamoja na madawa ya kulevya vinakoma kabisa visiwani Zanzibar.
Pia soma:
1). Zanzibar: Msichana wa kazi abakwa na Boss wa Miaka 74, Polisi wadaiwa kupoteza Ushahidi