Umeelewa nilichi kiabdika bibie, au ? Kila pesa ttcl ni kutokana na maamuzi mabovu ya serikali kwa TTCL.. unawekaje ukada kama kigezo cha kuwa CEO wa kampuni ya biashar
Usilinganishe kitabu cha Mungu na vitu vidhaifuUmeelewa nilichi kiabdika bibie, au ? Kila pesa ttcl ni kutokana na maamuzi mabovu ya serikali kwa TTCL.. unawekaje ukada kama kigezo cha kuwa CEO wa kampuni ya biashara?
Watajipa hayo mashirika kwa rushwa..Niliposikia pendekezo la CAG na Bi Mkubwa kwamba huko TPA bandari wanapaswa kuingia pia watu binafsi na hata TTCL, shirika la umma/serikali kuelekea kujifia, naanza kupata jibu kule wanakotaka tuelekee hawa jamaa.
Rais analalamika kwamba watu hawaendeshi vyema taasisi na miradi ya serikali. Why is she still there anyway?
Naona sasa ni mwendo wa kuwatunuku watu binafsi mashirika ya serikali.
Kivipi? Facts please...# 🙏🙏🙏Huyo mama nchi ilishamshinda since day one hilo si la kuuliza
Na hili nalo mkalitizameKivipi? Facts please...# 🙏🙏🙏
Watajipa hayo mashirika kwa rushwa..
Inasikitisha na kufikirisha sana pale serikali inapotumia billions of dollars kuanzisha mradi fulani, halafu baada ya siku chache, eti unajifia.Rais kuongea vile ni kwa sababu ya hasira, lakini ushauri Mzuri kwa washauri wa Rais, kwa sababu urais ni taasisi kubwa yenye wataalaam wengi, kuwa public shareholders ni muhimu Sana kwa TTCL.
Hakuna mtu anaweka effort pale mambo yakianza kuharibika.. wananzo waza ni kupiga minada kwa bei ya kutupaInasikitisha na kufikirisha sana pale serikali inapotumia billions of dollars kuanzisha mradi fulani, halafu baada ya siku chache, eti unajifia.
Nchi kama hii ni bora tu Wazungu waje kuitawala miaka mingine 100 au zaidi.
Maamuzi ya kuibinafsisha TTCL na TPA kabla hayajatimia naamini Rosevelt atakuwa kazini.Hakuna mtu anaweka effort pale mambo yakianza kuharibika.. wananzo waza ni kupiga minada kwa bei ya kutupa
Kama wanaAMINI ni sahihi kuibinafsisha bandari na TTCL,Niliposikia pendekezo la CAG na Bi Mkubwa kwamba huko TPA bandari wanapaswa kuingia pia watu binafsi na hata TTCL, shirika la umma/serikali kuelekea kujifia, naanza kupata jibu kule wanakotaka tuelekee hawa jamaa.
Rais analalamika kwamba watu hawaendeshi vyema taasisi na miradi ya serikali. Why is she still there anyway?
Naona sasa ni mwendo wa kuwatunuku watu binafsi mashirika ya serikali.
Mashirika kama TTCL na TPA Si biashara, ni huduma Ile.Kifupi kabisa! Serikali ijiondoe kwenye biashara! Hakuna sehemu yoyote inafanya vizuri!
Ibaki kuwa regulator!!
Halafu wanauziana wao kwa wao kwa bei chee. Imagine bidhaa na vitu mbalimbali vinacheleweshwa makusudi ili baadaye mtu apate mgao wa late fees. Huu ni uwendawazimu. The system needs a total overhaul.Hakuna mtu anaweka effort pale mambo yakianza kuharibika.. wananzo waza ni kupiga minada kwa bei ya kutupa
Hizo ni akili za kitoto na kipuuzi kabisa. Wameshindwa kuendesha, watawezea wapi kusimimia? Hizo ni akili za kitumwa na ambazo hazina tija kwa nchi zetu za Afrika.Kama wanaAMINI ni sahihi kuibinafsisha bandari na TTCL,
Ni dhahiri ofisi namba uno inatakiwa ibinafsishwe maana tuhuma nyingi inahusishwa direct.
By using the method you are trying to suggext here; we are likely to get the best CEO's ever. Hata hivyo njia hii haiwezi kutusaidia kitu kwa sababu tatizo ni kwamba watakwamishwa tu kwa sababu tatizo letu sisi ni kukwamishana. Huwa tunakwamsihana kuanzia Rais na kushuka chini. Ni Rais mwenyewe tu aone kama atakavyoona kuwa inafaa1. Wakuu wa haya mashirika wapatikane kwa interview, tena public interview
2. Performance indices ziwe wazi..kuanzia kwa CEO mpaka wafanyakazi wadogo
3. Mikataba ya kazi iwe kama private sector isiwe ya umilele.
4. Iuze hisa kwa private sector...49% to 51% lkn pawe na mikataba mingine ambatanishi.
Watafute mwekezaji atakaye chukua 51%By using the method you are trying to suggext here; we are likely to get the best CEO's ever. Hata hivyo njia hii haiwezi kutusaidia kitu kwa sababu tatizo ni kwamba watakwamishwa tu kwa sababu tatizo letu sisi ni kukwamishana. Huwa tunakwamsihana kuanzia Rais na kushuka chini. Ni Rais mwenyewe tu aone kama atakavyoona kuwa inafaa
Hayo mashirika inabidi mishahara ilipwe kulingana na wanacho pata.. kama hawazalishi basi na mishahara wasilipwe au bonus..TTCL na mashirika mengine ya Serikali ni aibu kubwa kwa taifa hasa kwa wanayoyaongoza mashirika hayo, uzembe ni wa kiwango cha hali ya juu imefikia mpaka wafanyakazi kutojali tena pindi mteja utakapo huduma utasikia unaambiwa sasa mimi nifanyaje? Nilifika TTCL Kijitonyama kutaka kujua taratibu za kuunganishwa fiber internet nyumbani wakanipatia fomu na kuambiwa huduma zangu ntapata ofisi zao zilizopo Tegeta Kibo Complex, kufika pale naambiwa yanipasa kusubiri kwa muda wa miezi 2 mapka 3 nilistaajabu Saną huyo dada akaniambia kama unaharaka sana nenda kampuni nyingine bila hata aibu. Kwa mwendo huo hakuna shirika la serikali linaweza kufanya biashara kwa ufanisi na likatengeneza faida mkaguzi na mdhibiti wa Serikali ataendelea kuja na ripoti zenye madudu kila mwaka na bungeni watapiga siasa mambo yatapita huku Nchi ikiendelea kutafunwa na Wenye meno.
Wazo zuri shida ipo kwenye utekelezaji wakeHayo mashirika inabidi mishahara ilipwe kulingana na wanacho pata.. kama hawazalishi basi na mishahara wasilipwe au bonus..
Huu ushauri naamini raisi hawezi kuupokea. Ukikubali hivi basi hata wizara nazo kwa kuwa hazifanyi vizuri utataka nazo wapewe privateKifupi kabisa! Serikali ijiondoe kwenye biashara! Hakuna sehemu yoyote inafanya vizuri!
Ibaki kuwa regulator!!