Hukumu ya Rais kwa TTCL haijakaa sawa kabisa

Wawekezaji walishatafutwa kweye mashirika mengi tu mwisho wa siku mashirika ndio yakafa kabisa, hao ttcl,ATCL, trc
Tatizo mchakato wa kuwapata wawekezaji nao ni mbovu
 
Mishahara inatoka hazina.. inatakiwa mishahara na binus zitokane na biashara husika.. watu waraacha kujizima data
Mashirika yasiyopokea ruzuku ya serikari mishahara yao haitoki hazina bali inakuwa coordinated na hazina ndiyo maana mashihirika hayo huweza kupanga attractive numeration package zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
K
kwa mara ya kwanza nimeona mtu ambae hajakasilishwa na ubadhilifu uliofanywa kwanza mimi nungekua Rais Samia Suluhu siku hiyo hiyo ningesema wote waliobainika wanafanya ubadhilifu wapishe uchunguzi

Lakini kwakua Rais wetu hakurupuki anaenda step by step tusubiri kuona akiendelea kuifanyia kazi riport hii na sisi watanzania tunaenjoy zaidi kuona Mama anawawajibisha
 
Huku unakakuta kajuaji kamoja kanampinga rais kanafikiri rais akisoma haeleweshwi na wataalamu kwenye ofisi yake! Hakajawahi hata kuwa monitor darasani kanamwelekeza rais eti kiuongozi alipaswa afanyaje! Eti asubiri wabunge kwahiyo wabunge pekee ndiyo wanajua kusoma na kuelewa??
Nchi inaibiwa lingine linachukia stupid wenzie kuitwa stupid... that's very stupid
 
Mashirika kama TTCL na TPA Si biashara, ni huduma Ile.

Uliona wapi mawasiliano ya nchi yakawa chini ya mtu binafsi?

Hata Kwa mabeberu hawafanyi hivyo.

Kama viongozi wameshindwa simamia waondoke wao.
Mnawahukumu kwa sababu wameshindwa kutoa huduma au wameshindwa kujiendesha kwa faida!??
 
Huu ushauri naamini raisi hawezi kuupokea. Ukikubali hivi basi hata wizara nazo kwa kuwa hazifanyi vizuri utataka nazo wapewe private
Hizo Wizara wangeajiri watu smart wapewe KPIs uone kama shughuli hazitoenda!
Badala yake mnalundika wanasiasa kazi yao kujinunulia magari ya kifahari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…