Hukumu ya Sabaya na Wenzake

Hukumu ya Sabaya na Wenzake

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Jaji ambaye alihusika KUTENGUA maamuzi mazuri ya mahakama Kuu ya KUZUIA Wakurugenzi (maDED) kutosimamia chaguzi nchini, AKARUHUSU, ndiye aliyehusika pia kumwachia SABAYA leo. Huyu Jaji ndiye Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wa sasa. Aliteuliwa na rais SSH…

Licha ya ukamataji wa wahujumu uchumi kutokuwa kazi ya DC, kazi hiyo aliifanya nje ya eneo lake la kazi: Arusha badala ya Hai! Itstuchukua miaka mingi sana kutoka nje ya msitu huu! (extract from X) formerly Tweeter
 
Attachments

Hii issue ya Sabaya kwa namna mambo yanavyokwenda sasa hivi, inanifanya niamini kumbe hata kule kukaa kwake gerezani wakati ule, hakukuwa kwa sababu ya kifungo alicho hukumiwa, kulikuwa ni kwasababu ya mtawala aliamua iwe vile.

Ni kama vile mtawala aliamua kunfundisha kijana wake adabu kidogo, ndio maana kina Makonda na Mnyeti wao hawakuguswa, na baada ya mtawala kujiridhisha kijana amejutia makosa yake, ndio sasa ameamua kumuachia huru, hizo mahakama ni kama pambo tu.

Baada ya hapo, sitashangaa ukifuatia uteuzi, kama kina Makonda na Mnyeti wamekula teuzi, why not Sabaya?!

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Magereza ni ajili ya wanyonge pekee, majangili ya CCM yapo huru muda wote
 
Tatizo la Chadema mnapenda kuburuza sana watu.

Kila mnachofikiri nyie mnataka wote tufikiri kama nyie.

Haiko hivyo.

Mjifunze kuheshimu na maamuzi ya wengine pia.
 
Haki inatakiwa ionekane kutendeka. Jikite humo, hicho kituko kilichofanywa na mahakama ni aibu.

Hapo ndio nimejua kwanini wazungu huamua kupeleka mashauri Yao kwenye mahakama za kimataifa. Wangejichanganya kutumia haya matawi ya ccm wangefurahi.
 
Hii issue ya Sabaya kwa namna mambo yanavyokwenda sasa hivi, inanifanya niamini kumbe hata kule kukaa kwake gerezani wakati ule, hakukuwa kwa sababu ya kifungo alicho hukumiwa, kulikuwa ni kwasababu ya mtawala aliamua iwe vile.

Ni kama vile mtawala aliamua kunfundisha kijana wake adabu kidogo, ndio maana kina Makonda na Mnyeti wao hawakuguswa, na baada ya mtawala kujiridhisha kijana amejutia makosa yake, ndio sasa ameamua kumuachia huru, hizo mahakama ni kama pambo tu.

Baada ya hapo, sitashangaa ukifuatia uteuzi, kama kina Makonda na Mnyeti wamekula teuzi, why not Sabaya?!

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Rufaa ilikuwa ni muda wa kumsafisha, anaandaliwa kuungana na Makonda kwa kuvuruga uchaguzi
 
Haki inatakiwa ionekane kutendeka. Jikite humo, hicho kituko kilichofanywa na mahakama ni aibu.

Hapo ndio nimejua kwanini wazungu huamua kupeleka mashauri Yao kwenye mahakama za kimataifa. Wangejichanganya kutumia haya matawi ya ccm wangefurahi.
Kile kituko cha mbowe nacho sio aibu??

Mbowe alikutwa na kesi ya kujibu ila akaachiwa hivi hivi tu.

Nayo sio aibu kamanda??
 
Kwa taarifa yako ile kesi toka mwanzo ilikuwa ni sehemu ya upuuzi huo huo uliotumika kumfutia kesi. Yaani kwenye ile kesi ya Mbowe ndio nilijua ni kwa kiwango gani mahakama zetu zimeoza.

Halafu Kuna watu walikuwa wanawaambia cdm waende mahakamani kama wanaona wameibiwa kwenye uchaguzi! Mahakama zenyewe ndio hizi zenye kesi ya kina Mdee mwaka wa 3+, wakati kesi ya urais Kenya ambayo ni kubwa ilishaisha muda mrefu.
 
Mifumo ya mahakama za kenya iko vizuri kuliko ya Tanzania inakuwaje kesi ndogo kama ya kina Mdee inashindwa kutolewa rulling kwa zaidi ya miaka 3.Ndio maana baada ya uchaguzi wa mwaka 2020 licha ya kuwa na makandokando mengi wagombea wa vyama vya upinzani hawakujisumbua kwenda mahakamani.Wakaona bora waliopata waendelee kuenjoy madaraka waliyopata mpaka mwisho

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Jaji ambaye alihusika KUTENGUA maamuzi mazuri ya mahakama Kuu ya KUZUIA Wakurugenzi (maDED) kutosimamia chaguzi nchini, AKARUHUSU, ndiye aliyehusika pia kumwachia SABAYA leo. Huyu Jaji ndiye Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wa sasa. Aliteuliwa na rais SSH…

Licha ya ukamataji wa wahujumu uchumi kutokuwa kazi ya DC, kazi hiyo aliifanya nje ya eneo lake la kazi: Arusha badala ya Hai! Itstuchukua miaka mingi sana kutoka nje ya msitu huu! (extract from X) formerly Tweeter
Kuna vitu huvijui.
 
Ys
Mimi nikwambie ni mtu wa kutafuta ukweli toka academic authorities, researcher, msomi, highly informed, reasonable man, shika hilo!
Yaani ni kama usikie Mkuu wa Mkoa wa Morogoro kaenda Kigoma kukamata wahalifu ..huku mkuu wa Mkoa Kigoma hana habari ...

Tanzania hii INA vituko haswa ...
 
Sababu za kina mfanyabiashara Mrosso na wenzake kutaka Sabaya afungwe zinajulikana na wanatumika vibaya. Kuwa nje ya eneo lake la kazi sio kosa la jinai. Jinai ni kitendo na kimethibitika kwamba haikuwa ujambazi. Aliwanunulia ndizi akawapeleka polisi. Huo ndio ujambazi?
Haki inatakiwa ionekane kutendeka. Jikite humo, hicho kituko kilichofanywa na mahakama ni aibu.

Hapo ndio nimejua kwanini wazungu huamua kupeleka mashauri Yao kwenye mahakama za kimataifa. Wangejichanganya kutumia haya matawi ya ccm wangefurahi.
Jaji ambaye alihusika KUTENGUA maamuzi mazuri ya mahakama Kuu ya KUZUIA Wakurugenzi (maDED) kutosimamia chaguzi nchini, AKARUHUSU, ndiye aliyehusika pia kumwachia SABAYA leo. Huyu Jaji ndiye Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wa sasa. Aliteuliwa na rais SSH…

Licha ya ukamataji wa wahujumu uchumi kutokuwa kazi ya DC, kazi hiyo aliifanya nje ya eneo lake la kazi: Arusha badala ya Hai! Itstuchukua miaka mingi sana kutoka nje ya msitu huu! (extract from X) formerly Tweeter
 
Ys
Yaani ni kama usikie Mkuu wa Mkoa wa Morogoro kaenda Kigoma kukamata wahalifu ..huku mkuu wa Mkoa Kigoma hana habari ...

Tanzania hii INA vituko haswa ...
Kazi ya mwajiri yake hiyo. Sasa kosa la kiutumishi au la ajira ni unyang'anyi wa kutumia silaha? Pengine mwajiri wake amempa onyo ama karipio.
 
Jaji ambaye alihusika KUTENGUA maamuzi mazuri ya mahakama Kuu ya KUZUIA Wakurugenzi (maDED) kutosimamia chaguzi nchini, AKARUHUSU, ndiye aliyehusika pia kumwachia SABAYA leo. Huyu Jaji ndiye Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wa sasa. Aliteuliwa na rais SSH…

Licha ya ukamataji wa wahujumu uchumi kutokuwa kazi ya DC, kazi hiyo aliifanya nje ya eneo lake la kazi: Arusha badala ya Hai! Itstuchukua miaka mingi sana kutoka nje ya msitu huu! (extract from X) formerly Tweeter
Nadhani hauelewi Majukumu ya Ya Msingi ya Mkuu wa Wilaya. Moja ya Jukumu Kubwa la hawa Viongozi ni kisimamia Usalama wa Nchi, Watu, Uchumi wa nchi, na Mali yao.
Na kwa Mimi Sebaya nadhani hapendwi tu nawapiga dili.
 
Back
Top Bottom