Hukumu ya Sabaya na Wenzake

Hukumu ya Sabaya na Wenzake

Kazi ya mwajiri yake hiyo. Sasa kosa la kiutumishi au la ajira ni unyang'anyi wa kutumia silaha? Pengine mwajiri wake amempa onyo ama karipio.
Kipindi kile hao jamaa ...walikuwa wanajiongeza kupata hela ...
Na walikuwa wakitumia Polisi kwenda sehemu kuchukua hela ..nje ya eneo lake LA kazi ..

Hii kitu mbona inajulikana hata kwa Jaji mwenyewe
 
Hii issue ya Sabaya kwa namna mambo yanavyokwenda sasa hivi, inanifanya niamini kumbe hata kule kukaa kwake gerezani wakati ule, hakukuwa kwa sababu ya kifungo alicho hukumiwa, kulikuwa ni kwasababu ya mtawala aliamua iwe vile.

Ni kama vile mtawala aliamua kunfundisha kijana wake adabu kidogo, ndio maana kina Makonda na Mnyeti wao hawakuguswa, na baada ya mtawala kujiridhisha kijana amejutia makosa yake, ndio sasa ameamua kumuachia huru, hizo mahakama ni kama pambo tu.

Baada ya hapo, sitashangaa ukifuatia uteuzi, kama kina Makonda na Mnyeti wamekula teuzi, why not Sabaya?!

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Ukisoma hii sehemu ya hukumu utaona unachosema siyo sahihi bali usahihi ni kuwa mahakama zetu ziko huru kinyume cha watu wanavyodhani
We, for our part, did notstop to wonder why would the armed robbers accomplish their assignmentof armed robbery and at the same time take the victims to the police?
 
Nadhani hauelewi Majukumu ya Ya Msingi ya Mkuu wa Wilaya. Moja ya Jukumu Kubwa la hawa Viongozi ni kisimamia Usalama wa Nchi, Watu, Uchumi wa nchi, na Mali yao.
Na kwa Mimi Sebaya nadhani hapendwi tu nawapiga dili.
Kama ilivyo kwa makonda
 
Ikifikia mahali kama nchi tukawaona hao vijana jeuri, wauwaji, mafisadi wenye dharau kuwa ndio wanafaa kupewa nafasi za uongozi basi ujue tayari CCM iko katika downward spiral ambayo ita escalate very soon.
We, for our part, did notstop to wonder why would the armed robbers accomplish their assignmentof armed robbery and at the same time take the victims to the police?
Hebu tupeni majibu ya swali hilo la wahe.majaji wa rufaa
Mnawaona hao wauwaji ila siyo Mbowe aliyemuua Chacha Wangwe?
 
Jaji ambaye alihusika KUTENGUA maamuzi mazuri ya mahakama Kuu ya KUZUIA Wakurugenzi (maDED) kutosimamia chaguzi nchini, AKARUHUSU, ndiye aliyehusika pia kumwachia SABAYA leo. Huyu Jaji ndiye Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wa sasa. Aliteuliwa na rais SSH…

Licha ya ukamataji wa wahujumu uchumi kutokuwa kazi ya DC, kazi hiyo aliifanya nje ya eneo lake la kazi: Arusha badala ya Hai! Itstuchukua miaka mingi sana kutoka nje ya msitu huu! (extract from X) formerly Tweeter

Ulitaka vipi?
 
Kipindi kile hao jamaa ...walikuwa wanajiongeza kupata hela ...
Na walikuwa wakitumia Polisi kwenda sehemu kuchukua hela ..nje ya eneo lake LA kazi ..

Hii kitu mbona inajulikana hata kwa Jaji mwenyewe
Hata kama amepiga mabilioni ya pesa, kama hakuna ushahidi pasipo mashaka, evidence beyond reasonable doubt, ndio imetoka. Sijui sasa Tumaini Kweka atakata rufaa mahakama ya Africa ya Mashariki au ataenda ICC, The Hague? 😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
 
Nadhani hauelewi Majukumu ya Ya Msingi ya Mkuu wa Wilaya. Moja ya Jukumu Kubwa la hawa Viongozi ni kisimamia Usalama wa Nchi, Watu, Uchumi wa nchi, na Mali yao.
Na kwa Mimi Sebaya nadhani hapendwi tu nawapiga dili.
Angemngoa kucha baba yako/au any of your favorite usingelisema haya eti analinda amani
 
Sababu za kina mfanyabiashara Mrosso na wenzake kutaka Sabaya afungwe zinajulikana na wanatumika vibaya. Kuwa nje ya eneo lake la kazi sio kosa la jinai. Jinai ni kitendo na kimethibitika kwamba haikuwa ujambazi. Aliwanunulia ndizi akawapeleka polisi. Huo ndio ujambazi?
size yako in law watakuja mbishane
 
Ys
Yaani ni kama usikie Mkuu wa Mkoa wa Morogoro kaenda Kigoma kukamata wahalifu ..huku mkuu wa Mkoa Kigoma hana habari ...

Tanzania hii INA vituko haswa ...
Kuna ushahidi kuwa alitesa watu na kuwapora.... Mwambegele hakuyaona hayo kama ambavyo hkuona kuwa DEDS are not impartial
 
Sababu za kina mfanyabiashara Mrosso na wenzake kutaka Sabaya afungwe zinajulikana na wanatumika vibaya. Kuwa nje ya eneo lake la kazi sio kosa la jinai. Jinai ni kitendo na kimethibitika kwamba haikuwa ujambazi. Aliwanunulia ndizi akawapeleka polisi. Huo ndio ujambazi?
Sikiliza ww, hakuna wajinga wa hivyo tena. Watu wameshaamka nyie mmebaki na ujanja wa kizamani. Na hizo mahakama ndio zimegeuka kuwa takataka ya wazi. Huo upuuzi huwezi kuukuta kwenye mahakama za Kenya.
 
Hata kama amepiga mabilioni ya pesa, kama hakuna ushahidi pasipo mashaka, evidence beyond reasonable doubt, ndio imetoka. Sijui sasa Tumaini Kweka atakata rufaa mahakama ya Africa ya Mashariki au ataenda ICC, The Hague? 😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
Hapo haendelei tena....
Ila watanzania wengi ni wapole sana ..

Kipindi hiko tulifanywa wajinga sana na baadhi ya viongozi ...
 
Majaji wa sasa hapa Tz weledi huwekwa pembeni na badala yake yake maamuzi yao ni ya kisiasa na kufuata mwangwi wa ccm.
Wanachotaka watawala ndio kinachoamuliwa.
 
Back
Top Bottom