Mimi nikwambie ni mtu wa kutafuta ukweli toka academic authorities, researcher, msomi, highly informed, reasonable man, shika hilo!Unajitahidi sana
Makonda - Happi - Ole sabayaMimi nikwambie ni mtu wa kutafuta ukweli toka academic authorities, researcher, msomi, highly informed, reasonable man, shika hilo!
Magereza ni ajili ya wanyonge pekee, majangili ya CCM yapo huru muda woteHii issue ya Sabaya kwa namna mambo yanavyokwenda sasa hivi, inanifanya niamini kumbe hata kule kukaa kwake gerezani wakati ule, hakukuwa kwa sababu ya kifungo alicho hukumiwa, kulikuwa ni kwasababu ya mtawala aliamua iwe vile.
Ni kama vile mtawala aliamua kunfundisha kijana wake adabu kidogo, ndio maana kina Makonda na Mnyeti wao hawakuguswa, na baada ya mtawala kujiridhisha kijana amejutia makosa yake, ndio sasa ameamua kumuachia huru, hizo mahakama ni kama pambo tu.
Baada ya hapo, sitashangaa ukifuatia uteuzi, kama kina Makonda na Mnyeti wamekula teuzi, why not Sabaya?!
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Haki inatakiwa ionekane kutendeka. Jikite humo, hicho kituko kilichofanywa na mahakama ni aibu.Tatizo la Chadema mnapenda kuburuza sana watu.
Kila mnachofikiri nyie mnataka wote tufikiri kama nyie.
Haiko hivyo.
Mjifunze kuheshimu na maamuzi ya wengine pia.
Rufaa ilikuwa ni muda wa kumsafisha, anaandaliwa kuungana na Makonda kwa kuvuruga uchaguziHii issue ya Sabaya kwa namna mambo yanavyokwenda sasa hivi, inanifanya niamini kumbe hata kule kukaa kwake gerezani wakati ule, hakukuwa kwa sababu ya kifungo alicho hukumiwa, kulikuwa ni kwasababu ya mtawala aliamua iwe vile.
Ni kama vile mtawala aliamua kunfundisha kijana wake adabu kidogo, ndio maana kina Makonda na Mnyeti wao hawakuguswa, na baada ya mtawala kujiridhisha kijana amejutia makosa yake, ndio sasa ameamua kumuachia huru, hizo mahakama ni kama pambo tu.
Baada ya hapo, sitashangaa ukifuatia uteuzi, kama kina Makonda na Mnyeti wamekula teuzi, why not Sabaya?!
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kile kituko cha mbowe nacho sio aibu??Haki inatakiwa ionekane kutendeka. Jikite humo, hicho kituko kilichofanywa na mahakama ni aibu.
Hapo ndio nimejua kwanini wazungu huamua kupeleka mashauri Yao kwenye mahakama za kimataifa. Wangejichanganya kutumia haya matawi ya ccm wangefurahi.
Kwa taarifa yako ile kesi toka mwanzo ilikuwa ni sehemu ya upuuzi huo huo uliotumika kumfutia kesi. Yaani kwenye ile kesi ya Mbowe ndio nilijua ni kwa kiwango gani mahakama zetu zimeoza.Kile kituko cha mbowe nacho sio aibu??
Mbowe alikutwa na kesi ya kujibu ila akaachiwa hivi hivi tu.
Nayo sio aibu kamanda??
Kuna vitu huvijui.Jaji ambaye alihusika KUTENGUA maamuzi mazuri ya mahakama Kuu ya KUZUIA Wakurugenzi (maDED) kutosimamia chaguzi nchini, AKARUHUSU, ndiye aliyehusika pia kumwachia SABAYA leo. Huyu Jaji ndiye Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wa sasa. Aliteuliwa na rais SSH…
Licha ya ukamataji wa wahujumu uchumi kutokuwa kazi ya DC, kazi hiyo aliifanya nje ya eneo lake la kazi: Arusha badala ya Hai! Itstuchukua miaka mingi sana kutoka nje ya msitu huu! (extract from X) formerly Tweeter
Yaani ni kama usikie Mkuu wa Mkoa wa Morogoro kaenda Kigoma kukamata wahalifu ..huku mkuu wa Mkoa Kigoma hana habari ...Mimi nikwambie ni mtu wa kutafuta ukweli toka academic authorities, researcher, msomi, highly informed, reasonable man, shika hilo!
Haki inatakiwa ionekane kutendeka. Jikite humo, hicho kituko kilichofanywa na mahakama ni aibu.
Hapo ndio nimejua kwanini wazungu huamua kupeleka mashauri Yao kwenye mahakama za kimataifa. Wangejichanganya kutumia haya matawi ya ccm wangefurahi.
Jaji ambaye alihusika KUTENGUA maamuzi mazuri ya mahakama Kuu ya KUZUIA Wakurugenzi (maDED) kutosimamia chaguzi nchini, AKARUHUSU, ndiye aliyehusika pia kumwachia SABAYA leo. Huyu Jaji ndiye Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wa sasa. Aliteuliwa na rais SSH…
Licha ya ukamataji wa wahujumu uchumi kutokuwa kazi ya DC, kazi hiyo aliifanya nje ya eneo lake la kazi: Arusha badala ya Hai! Itstuchukua miaka mingi sana kutoka nje ya msitu huu! (extract from X) formerly Tweeter
Kazi ya mwajiri yake hiyo. Sasa kosa la kiutumishi au la ajira ni unyang'anyi wa kutumia silaha? Pengine mwajiri wake amempa onyo ama karipio.Ys
Yaani ni kama usikie Mkuu wa Mkoa wa Morogoro kaenda Kigoma kukamata wahalifu ..huku mkuu wa Mkoa Kigoma hana habari ...
Tanzania hii INA vituko haswa ...
Nadhani hauelewi Majukumu ya Ya Msingi ya Mkuu wa Wilaya. Moja ya Jukumu Kubwa la hawa Viongozi ni kisimamia Usalama wa Nchi, Watu, Uchumi wa nchi, na Mali yao.Jaji ambaye alihusika KUTENGUA maamuzi mazuri ya mahakama Kuu ya KUZUIA Wakurugenzi (maDED) kutosimamia chaguzi nchini, AKARUHUSU, ndiye aliyehusika pia kumwachia SABAYA leo. Huyu Jaji ndiye Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wa sasa. Aliteuliwa na rais SSH…