Kipindi kile hao jamaa ...walikuwa wanajiongeza kupata hela ...Kazi ya mwajiri yake hiyo. Sasa kosa la kiutumishi au la ajira ni unyang'anyi wa kutumia silaha? Pengine mwajiri wake amempa onyo ama karipio.
Ikifikia mahali kama nchi tukawaona hao vijana jeuri, wauwaji, mafisadi wenye dharau kuwa ndio wanafaa kupewa nafasi za uongozi basi ujue tayari CCM iko katika downward spiral ambayo ita escalate very soon.Makonda - Happi - Ole sabaya
Itapendeza zaidi!
Ukisoma hii sehemu ya hukumu utaona unachosema siyo sahihi bali usahihi ni kuwa mahakama zetu ziko huru kinyume cha watu wanavyodhaniHii issue ya Sabaya kwa namna mambo yanavyokwenda sasa hivi, inanifanya niamini kumbe hata kule kukaa kwake gerezani wakati ule, hakukuwa kwa sababu ya kifungo alicho hukumiwa, kulikuwa ni kwasababu ya mtawala aliamua iwe vile.
Ni kama vile mtawala aliamua kunfundisha kijana wake adabu kidogo, ndio maana kina Makonda na Mnyeti wao hawakuguswa, na baada ya mtawala kujiridhisha kijana amejutia makosa yake, ndio sasa ameamua kumuachia huru, hizo mahakama ni kama pambo tu.
Baada ya hapo, sitashangaa ukifuatia uteuzi, kama kina Makonda na Mnyeti wamekula teuzi, why not Sabaya?!
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kama ilivyo kwa makondaNadhani hauelewi Majukumu ya Ya Msingi ya Mkuu wa Wilaya. Moja ya Jukumu Kubwa la hawa Viongozi ni kisimamia Usalama wa Nchi, Watu, Uchumi wa nchi, na Mali yao.
Na kwa Mimi Sebaya nadhani hapendwi tu nawapiga dili.
We, for our part, did notstop to wonder why would the armed robbers accomplish their assignmentof armed robbery and at the same time take the victims to the police?Ikifikia mahali kama nchi tukawaona hao vijana jeuri, wauwaji, mafisadi wenye dharau kuwa ndio wanafaa kupewa nafasi za uongozi basi ujue tayari CCM iko katika downward spiral ambayo ita escalate very soon.
Jaji ambaye alihusika KUTENGUA maamuzi mazuri ya mahakama Kuu ya KUZUIA Wakurugenzi (maDED) kutosimamia chaguzi nchini, AKARUHUSU, ndiye aliyehusika pia kumwachia SABAYA leo. Huyu Jaji ndiye Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wa sasa. Aliteuliwa na rais SSHβ¦
Licha ya ukamataji wa wahujumu uchumi kutokuwa kazi ya DC, kazi hiyo aliifanya nje ya eneo lake la kazi: Arusha badala ya Hai! Itstuchukua miaka mingi sana kutoka nje ya msitu huu! (extract from X) formerly Tweeter
Hahaha hii about turn imenifurahisha..umetukumbusha mbaaali...Kile kituko cha mbowe nacho sio aibu??
Mbowe alikutwa na kesi ya kujibu ila akaachiwa hivi hivi tu.
Nayo sio aibu kamanda??
Hata kama amepiga mabilioni ya pesa, kama hakuna ushahidi pasipo mashaka, evidence beyond reasonable doubt, ndio imetoka. Sijui sasa Tumaini Kweka atakata rufaa mahakama ya Africa ya Mashariki au ataenda ICC, The Hague? πππππππππππKipindi kile hao jamaa ...walikuwa wanajiongeza kupata hela ...
Na walikuwa wakitumia Polisi kwenda sehemu kuchukua hela ..nje ya eneo lake LA kazi ..
Hii kitu mbona inajulikana hata kwa Jaji mwenyewe
Kamuulize mumeoUlitaka vipi?
Angemngoa kucha baba yako/au any of your favorite usingelisema haya eti analinda amaniNadhani hauelewi Majukumu ya Ya Msingi ya Mkuu wa Wilaya. Moja ya Jukumu Kubwa la hawa Viongozi ni kisimamia Usalama wa Nchi, Watu, Uchumi wa nchi, na Mali yao.
Na kwa Mimi Sebaya nadhani hapendwi tu nawapiga dili.
size yako in law watakuja mbishaneSababu za kina mfanyabiashara Mrosso na wenzake kutaka Sabaya afungwe zinajulikana na wanatumika vibaya. Kuwa nje ya eneo lake la kazi sio kosa la jinai. Jinai ni kitendo na kimethibitika kwamba haikuwa ujambazi. Aliwanunulia ndizi akawapeleka polisi. Huo ndio ujambazi?
Kuna ushahidi kuwa alitesa watu na kuwapora.... Mwambegele hakuyaona hayo kama ambavyo hkuona kuwa DEDS are not impartialYs
Yaani ni kama usikie Mkuu wa Mkoa wa Morogoro kaenda Kigoma kukamata wahalifu ..huku mkuu wa Mkoa Kigoma hana habari ...
Tanzania hii INA vituko haswa ...
whatever, si policy ya CCM ni UUAJI, UTEKAJI, UPOTEZAJI WAPINZANI AND THE LIKEMakonda - Happi - Ole sabaya
Itapendeza zaidi!
Sikiliza ww, hakuna wajinga wa hivyo tena. Watu wameshaamka nyie mmebaki na ujanja wa kizamani. Na hizo mahakama ndio zimegeuka kuwa takataka ya wazi. Huo upuuzi huwezi kuukuta kwenye mahakama za Kenya.Sababu za kina mfanyabiashara Mrosso na wenzake kutaka Sabaya afungwe zinajulikana na wanatumika vibaya. Kuwa nje ya eneo lake la kazi sio kosa la jinai. Jinai ni kitendo na kimethibitika kwamba haikuwa ujambazi. Aliwanunulia ndizi akawapeleka polisi. Huo ndio ujambazi?
Hapo haendelei tena....Hata kama amepiga mabilioni ya pesa, kama hakuna ushahidi pasipo mashaka, evidence beyond reasonable doubt, ndio imetoka. Sijui sasa Tumaini Kweka atakata rufaa mahakama ya Africa ya Mashariki au ataenda ICC, The Hague? πππππππππππ
Cha msingi ni kuwa hatofanikiwa.Unajitahidi sana