HUKUMU

HUKUMU

Nyamakunguru

Member
Joined
Nov 23, 2016
Posts
6
Reaction score
1
Kuna mwl alituhumiwa kuwa amemwambia mwanakijiji kwamba " mkuu wa shule amenituma nikwambie kuwa umempa mimba mwanafunzi X" kabla ya kujibu tuhuma hiyo kwa muda alopewa, alisimamishwa kazi na mamlaka ya nidhamu (TSC) wilaya tangu june-2016.
kamati ya uchunguzi ilikaa 17-06-2016 japo uthibitisho wa maneno hayo haukubainika.
Nov 2016 mwl huyo alipokea barua toka kwa TSC ikimpa ONYO KALI na UHAMISHO wa adhabu kuwa wamebaini alifanya kosa hilo.
Ikumbukwe kuwa mwandishi wa hukumu hiyo katibu TSC mpaka anatoa hukumu hiyo kama sehemu ya kamati alikuwa anashikiliwa na TAKUKURU kwa kumuomba mwl huyo rushwa mwaka jana, mpaka sasa bado anakesi.
SWALI:
#Je hukumu hiyo ni sahihi?
#Je katibu wa nidhamu alikuwa na mamlaka ya kutoa hukumu?
#Je hatakama maneno hayo ni kweli jamaa aliambiwa, kosa liko wapi?
mtoto ni kweli alikuwa mjamzito.
[HASHTAG]#Nini[/HASHTAG] cha kufanya?
 
majibu tafadhali.
 
Mkuu,

Utalipia shilingi ngapi kwa hii legal service unayotaka upewe?

Kama upo tayari kulipia nicheki PM Mkuu.
 
Kabla ya kuanza kutoa ushauri nilikuwa naomba kujua nini maana au kirefu cha TSC.
 
Back
Top Bottom