niliwahi kuona idea kama hiyo kwenye muvi flani hivi.
Raisi alitekwa na wakabadilisha na mtu mwingine aliye tengenezwa kama raisi aliye tekwa. So alikua states house kwa interests za.walio mtengeneza.
ila.siamini kama jk wanaweza kumclone hadi sauti?
ngoja wajuvi wa haya mambo wakuje pande hizi