badison
JF-Expert Member
- May 29, 2015
- 1,450
- 2,761
wana jf kama kuna mtu yyte anaelimu kuhusu clones tafadhali sana atuelimishe. kwani hata kiongozi wa nchi mwenye kupenda safari za nje anaweza tolewa photocopy bila raia kujua au usalama even anaweza kuwa assassinated then kuwa replaced na clones. is this ring a bell? msaada tafadhali