HUMAN BEING IS THE AUTHOR OF DEATH AND DESTRUCTION

GRAMAA

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
1,241
Reaction score
3,800
Tunaweza kusema kwamba God did not make death nor does he rejoice in the destruction. Hii ni kutokana na ukweli kwamba binadamu amefanikiwa kwa uwezo mkubwa kugundua na kutengeneza vifaa mbalimbali ambavyo kwa kiasi kikubwa ndivyo vimekuwa chanzo cha vifo kwa mabilioni ya watu duniani. Kwa hiyo muda mwingine inakuwa sio sahihi kuamini kwamba mungu ndiye husababisha vifo kwa watu.

Ngoja tutazame mifano kadhaa hapa chini:

1. BINADAMU NDIYE ALIYETENGENEZA SIRAHA MBALIMBALI.
Binadamu amegundua na kutengeneza siraha mbalimbali mfano bunduki za kila aina, mabomu, vifu, mapanga n.k. Siraha hizi kwa kiasi kikubwa zimesababisha vifo vya mabilioni ya watu duniani. Kama binadamu asinge gundua na kutengeneza siraha hizo mpaka sasa watu wengi sana wangekuwa hai.

2. BINADAMU AMETENGENEZA MAGONJWA MBALIMBALI.
Karibia magonjwa mengi yanayoongoza kuua mabilioni ya watu duniani na man made diseases. Kuna laboratory diseases na magonjwa ambayo husababishwa na uchafuzi wa mazingira. Baadhi ya magonya yanayotokana na bakteria na virus ni man made. Kama kusingekuwa na man made diseases basi mpaka sasa mabilioni ya watu wangekuwa hapa duniani.

3. BINADAMU AMEGUNDUA NA KUTENGENEZA SUMU MBALIMBALI.
Kuna sumu aina nyingi sana zilizogunguliwa na kutengenezwa na binadamu zinazoongoza kuua mabilioni ya watu hapa dunia. Mfano mzuri biological weapons zimeua na zinaua watu wengi sana. Kama binadamu asinge gundua na kutengeneza sumu hizi basi mabilioni ya watu wengi sana mpaka leo wangekuwa hai.

4. BINADAMU AMEGUNDUA NA KUTENGENEZA VYOMBO MBALIMBALI VYA USAFIRI.
Vyombo vya usafiri mfano nagari, ndege, meli, boti, treni n.k vimeua watu wengi sana tena sana pale vinapopata ajali. Kama vinadamu asinge gundua na kutengeneza vyombo hivi basi matrilioni ya watu waliokufa kwa ajali mpaka sasa wangekuwa hai.

5. BINADAMU NDIYE ALIYEFANYA GUNDUZI MBALIMBALI.
Gunduzi nyingi za binadamu hapa duniani zimesababisha vifo vingi sana. Mfano gunduzi za umeme zimepelekea vifo vingi vya kuunguza nyumba n.k. Mara nyingi imeripotiwa kuripuka kwa gesi na kusababisha maafa makubwa sana.

Kutokana na mifano michache na mengine mingi tunaweza kusema kwamba: HUMAN BEING IS THE AUTHOR OF DEATH AND DESTRUCTION. Hivyo haipaswi kila mara na kila kitu kumsingizia mungu. Kwani vingine hausiki navyo kabisa.

ASANTENI
 
MUNGU AMEUMBA KILA KITU.......... binadamu ni njia tu ya Mungu kukamilisha uumbaji. Mungu ameumba kila kinachoonekana na kisichoonekana.
 
Gusa hapa Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForums

Baadhi ya magonya yanayotokana na bakteria na virus ni man made. Kama kusingekuwa na man made diseases basi mpaka sasa mabilioni ya watu wangekuwa hapa duniani.

Ina maana binadamu ana uwezo wa kutengeneza bacteria na virusi ?

Embu elezea binadamu anatengeneza vipi bacteria na virusi ?

Ila hili swali ni la msingi pia. Kama unakubali bacteria na virusi ni viumbe,vipi mwanadamu aumbe ?

Naendelea kusoma pale nilipoishia ....
 
Tunaweza kusema kwamba God did not make death nor does he rejoice in the destruction. Hii ni kutokana na ukweli kwamba binadamu amefanikiwa kwa uwezo mkubwa kugundua na kutengeneza vifaa mbalimbali ambavyo kwa kiasi kikubwa ndivyo vimekuwa chanzo cha vifo kwa mabilioni ya watu duniani. Kwa hiyo muda mwingine inakuwa sio sahihi kuamini kwamba mungu ndiye husababisha vifo kwa watu.

Ngoja tutazame mifano kadhaa hapa chini:

1. BINADAMU NDIYE ALIYETENGENEZA SIRAHA MBALIMBALI.
Binadamu amegundua na kutengeneza siraha mbalimbali mfano bunduki za kila aina, mabomu, vifu, mapanga n.k. Siraha hizi kwa kiasi kikubwa zimesababisha vifo vya mabilioni ya watu duniani. Kama binadamu asinge gundua na kutengeneza siraha hizo mpaka sasa watu wengi sana wangekuwa hai.

2. BINADAMU AMETENGENEZA MAGONJWA MBALIMBALI.
Karibia magonjwa mengi yanayoongoza kuua mabilioni ya watu duniani na man made diseases. Kuna laboratory diseases na magonjwa ambayo husababishwa na uchafuzi wa mazingira. Baadhi ya magonya yanayotokana na bakteria na virus ni man made. Kama kusingekuwa na man made diseases basi mpaka sasa mabilioni ya watu wangekuwa hapa duniani.

3. BINADAMU AMEGUNDUA NA KUTENGENEZA SUMU MBALIMBALI.
Kuna sumu aina nyingi sana zilizogunguliwa na kutengenezwa na binadamu zinazoongoza kuua mabilioni ya watu hapa dunia. Mfano mzuri biological weapons zimeua na zinaua watu wengi sana. Kama binadamu asinge gundua na kutengeneza sumu hizi basi mabilioni ya watu wengi sana mpaka leo wangekuwa hai.

4. BINADAMU AMEGUNDUA NA KUTENGENEZA VYOMBO MBALIMBALI VYA USAFIRI.
Vyombo vya usafiri mfano nagari, ndege, meli, boti, treni n.k vimeua watu wengi sana tena sana pale vinapopata ajali. Kama vinadamu asinge gundua na kutengeneza vyombo hivi basi matrilioni ya watu waliokufa kwa ajali mpaka sasa wangekuwa hai.

5. BINADAMU NDIYE ALIYEFANYA GUNDUZI MBALIMBALI.
Gunduzi nyingi za binadamu hapa duniani zimesababisha vifo vingi sana. Mfano gunduzi za umeme zimepelekea vifo vingi vya kuunguza nyumba n.k. Mara nyingi imeripotiwa kuripuka kwa gesi na kusababisha maafa makubwa sana.

Kutokana na mifano michache na mengine mingi tunaweza kusema kwamba: HUMAN BEING IS THE AUTHOR OF DEATH AND DESTRUCTION. Hivyo haipaswi kila mara na kila kitu kumsingizia mungu. Kwani vingine hausiki navyo kabisa.

ASANTENI

Hivi kati ya KIFO na UHAI kipi huanza ?
 
Akhui nipo,nimekuja tayari ....

Ushirikiano wako unahitajika pia katika hii mada.
Unajua akhy, nilikuwa natafakari maisha yangu miaka 3 iliyopita. Ijapokuwa nilikuwa naswali ila nilikuwa na mambo ya ajabu. Namshukuru Mungu wanawake na pombe aliniweka navyo mbali kabisa.

Ila namshukuru Mungu 2015 nilianza rasmi kukaa chini na kusoma Dini.

Nitachangia hii mada inshaallah ila kuna vitu nimekula ni allergic navyo nasubiri hali yake ipoe kwanza. Tupo pamoja.
 
Back
Top Bottom