Human brain vs computer

Human brain vs computer

Swali gumu hili na ninafikiri binadamu hatutakuja kujua jibu , vipi unajua kabla hujazaliwa ulikuwa wapi? ukijibu hilo labda unaweza kupata jibu lako
msaidie huyo kijana anaejifanya anajua kumbe, anaungua anajua.
 
Mimi nilimuuliza huyo ambaye analinginisha kitu na mtu, akili yake japo amesoma Lakin anashindwa kuelewa mambo mepesi kama haya kweli! Hii western education bado tatizo kwetu
wewe ndio huelewi ila unajifanya unaelewa
 
Compyuta bila kuwa na software(au program) haina kazi yoyote.... unapoiwekea program kama windows(unavyoiprogram) ndio inapata jina au identity kutokana na program ulioipa....utaskia mtu akisema "compyuta yangu ina edit video" mwingine "my gaming pc"..."windows pc" na kadhalika....

Anaye program ubongo ni "wewe".....bila "wewe" ubongo wako ni sawa na hardware. Yani wewe ndio program/software ya ubongo wako.
hapa kaka kuna concept ya DNA za brain, tayari toka unazaliwa zina instruction,( tayari programmed) ili ubongo kufanya kazi zake, thus y hamna mtu anakufundisha kufanya unconcious activities, kwasababu, maelekezo yote yapo kwenye seli za ubongo wako,( ni sawa na program istruction zirlivyo) sasa huyu much know alete nae hoja zake .
 
Mimi nilimuuliza huyo ambaye analinginisha kitu na mtu, akili yake japo amesoma Lakin anashindwa kuelewa mambo mepesi kama haya kweli! Hii western education bado tatizo kwetu
huelewi hata unachozungumza wewe
 
Wala!!! Yuko sahihi kabisa...hata gari unaweza ukalilinganisha na binadam. Nistake kuleta falsafa na theolojia hapa...ila.
Programmer katengeneza program iwe na mfano au function kama za programmer, kwa iyo ile program ikioperate. Operation zake au product yake itatoka kwa formula iyo iyo...muonekano au functionality zitakuwa tofauti.
Mfano, muundo wa solar system una fanana na muundo wa atom moja. Japo functionality ni tofauti.
tusaidiane kaka kumuelimisha huyu anaweza akazinduka alipo kama atakuwa tayari
 
Mkuu human brain is exceptionally hii haitaji mjadara huu ndio uhalisia huwezi ukafananisha na computer
zipo scope ambazo ni exeption, na zipo scope unaweza ukazilinganisha na pia yapo maeneo ambayo computer inafanya vizuri kuzidi ubongo, jielimishe kijana achakuifumba akili yako na kujifanya mjuaji.


ingekuwa hivyo, hamna maana sasa ya kutumia computer kama tunaioutsmart kwenye kila kitu, kwanini tunatumia computer????


halafu sio mjadara ni mjadala.
 
Programmer anaeza akawa mnoma sana...ila akawa na kompyuta ya kiwango cha chini. Unachozungumzia ni "mtu"....ila hardware ya "brain" inaweza jadiliwa
ubaya zaidi yeye ndo anajiona anajua.
kaka nimegundua huyo hata anachokiongelea hakijui, tuzidi kusaidiana kuelimishana.
 
hapa kaka kuna concept ya DNA za brain, tayari toka unazaliwa zina instruction,( tayari programmed) ili ubongo kufanya kazi zake, thus y hamna mtu anakufundisha kufanya unconcious activities, kwasababu, maelekezo yote yapo kwenye seli za ubongo wako,( ni sawa na program istruction zirlivyo) sasa huyu much know alete nae hoja zake . hivi. Unachoongelea wewe ni kama

hapa kaka kuna concept ya DNA za brain, tayari toka unazaliwa zina instruction,( tayari programmed) ili ubongo kufanya kazi zake, thus y hamna mtu anakufundisha kufanya unconcious activities, kwasababu, maelekezo yote yapo kwenye seli za ubongo wako,( ni sawa na program istruction zirlivyo) sasa huyu much know alete nae hoja zake .
Kabisa.. DNA...ni kama wiring ya kompyuta ilivyo. Unategemea kwamba ukiweka program yako kwenye kompyuta...itabehave kama kompyuta...na kutekeleza jukumu la hiyo program kulingana na maelekezo yako.

Ndio maana ata ule ushibe kiasi gani, haipunguzi kuchoka. Inapunguza njaa....njaa ni hardware yako yani mwili unahitaji kupata energy...sawa sawa na kuchomeka kompyuta kwenye umeme ili ifanye kazi. La sivyo itazima kama mwili wako utakavyozimia au hata kufa.

Kuchoka inasortiwa na kulala....au usingizi. Kwa lugha ya kompyuta inafanana na cooling system ya kompyuta...kama inafanya kazi sana mfululizo bila cooling down...itacrash.

haimaanishi ukilala ni system imezima...maanake akili bado huwa ina operate
 
You are not command the brain, it only itself mkuu

😂😂😂 kaka em tumia tu kiswahili kama kingeereza ni shida , pili kuna consious activities( hizi unacomand wewe) halafu kuna unconsious activities( hizi ndio zipo prograammed tayari)
 
Mkuu hiyo akili iko sehemu ya ubongo so huwez kuitoa sasa sijui wewe unataka kuzungumza ni
ulivyozungumzia mambo ya western education , nilijua uwezo wako wa kufikiri ni mkubwa.
sadly🚮🚮🚮
 
Akili ni kama pumzi, haina sehemu maalum ilipo...huwezi kuishika au kuiona ukasema akili yangu hii hapa.

Ila
pua...inareceive pumzi
Macho...yanareceive mwanga
Masikio...yanareceive sauti
Ubongo....unareceive mawazo (impulse za akili)

Umeona kila kitu hapo kinachoonekana na kushikika kinapata maelekezo kutoka kwa kisichoonekana.

Nikienda sasa kwenye mada.
Kompyuta....inareceive data.
Data huwezi kuiona wala kuishika...wala kusema inakaa wapi exactly kwenye hardware. Yani ipo tu.
bigup broh!!,

asipoelewa hapa sasa itakuwa makusudi.
 
"If computer made by human minds is just part of us "
Kama ilivyo maboresho yake yanategemea Ubongo.
Na Ubongo ubaki superior mbele ya devices zote.
Na wazidi kugandamizia kutoka kwenye research zao bila hvyo sidhani Kama wangekuwa na jeuri ya kushindanisha
.
 
"If computer made by human minds is just part of us "
Kama ilivyo maboresho yake yanategemea Ubongo.
Na Ubongo ubaki superior mbele ya devices zote.
Na wazidi kugandamizia kutoka kwenye research zao bila hvyo sidhani Kama wangekuwa na jeuri ya kushindanisha
.
For now yeah brain ni superior lakini I doubt kama it will be the same, hata sasa kuna maeneo computer is better human brain... like trillions calculations per seconds human brain can't match that, of course human tumeipa hiyo computer huo uwezo lakini hapo ni kama teacher outperformed by his students
 
Back
Top Bottom