Human brain vs computer

So how do we connect Haman Brain na Kompyuta. RAM na GB tunalinganishaje na Ubongo.

Ni challenge tu lakini. I don't mean to disrespect the person brought the thread
RAM na GB unaweza kuzifananisha na kumbukumbu(RAM) na mawazo/fikra(GB/Data)
 
Wanasayansi wanasema pamoja na kizazi hiki chetu cha karne ya 21 kuwa na maarifa tele, ni 10% tu ya ubongo ndiyo iliyofanya kazi kiufasaha, lakini zaidi ya 90% bado haijatumika kabisa.
10% Ni Neurone 90%Glial and supportive cells hawakuziongelea .
Na endapo Hemisphere zote Mbili zitashiliki kwenye Jambo lako huku ukiacha kufikiri namna ulivyozoea kufikiri utakuwa umetumia almost asilimia zote za Ubongo wako 😊
 
kumbuka pia , tunatumia computer kwa kazi zisizowezwa kufanywa na ubongo kwa wepesi.
 
Nani kayaweka hayo maelekezo kwenye cell za ubongo swali ndo liko apa nani kayaweka hayo maelekezo ķwenye izo cell za ubongo
mbegu ya mwanaume( maniii) inapokutana na yai la mwanamke, na mtoto anapoundwa, hizo instruction zinaanza kujipangilia,kwa msaada wa homones, mpaka mtoto atapokuwa kiumbe kamili, sio kwamba ni mtu anaakaa maabara ili kukuwekea hizo instruction,
 
Turudi kwenye Evolution ya hizi Comps utaona Bado Hy supercomputer inahitaji uwepo wa Human Intelligence iwe integrated na Technology kwa muda huo ili kufanya Jambo
Mfano Insilico ( Computer ya kuusoma ugonjwa mwilini ) tunaona Bado Biology imechukua nafasi kubwa
kumbuka pia , tunatumia computer kwa kazi zisizowezwa kufanywa na ubongo kwa wepesi.
 
Mkuu kimbizana nao
 
nakubaliana na wewe lakini kumbuka ubongo wetu pia unazihitaji sana hizo computa pia
 
nakubaliana na wewe lakini kumbuka ubongo wetu pia unazihitaji sana hizo computa pia
Skupingi
lakini tukumbuke Computer is finite intelligence Human mind is infinity Intelligence .... All in all brain sio predictable Kama Computer.
 
Sijui baadhi wanatumia nini kupembea mada hizi lakini niweke hili sawa ubongo wa binadamu huwezi kufananisha na kitu ambacho kishakuwa programed kufanya certain task not beyond of its scope
Hata ubongo wa binadamu uko programed na kuna tasks hauwezi kuzifanya beyond scope

Kwahyo tunacompare hivi vitu viwili (ubongo vs computer) sio kwasababu vinafanana uwezo(ubongo una uwezo mkubwa zaidi)
Lakini kwasababu vinafanana asili (they are all programmed algorithms)
 
Nani kauprogramm ubongo?
 
Kwani kuna automation creator?
Swali lako lina assumption.
Assumption uliyonayo ni kuwa kila 'creation' lazima iwe na 'creator'
Sasa naomba uithibitishe kwanza hii assumption halafu ndiyo nikujibu Hilo swali.
 
Swali lako lina assumption.
Assumption uliyonayo ni kuwa kila 'creation' lazima iwe na 'creator'
Sasa naomba uithibitishe kwanza hii assumption halafu ndiyo nikujibu Hilo swali.
Kwangu mimi kila kilicho kina mtu aliyekitengeneza au kuumba hakuna kinachokuja tu
 
Kwangu mimi kila kilicho kina mtu aliyekitengeneza au kuumba hakuna kinachokuja tu
Sawa, kwanini sasa? Thibitisha hili.
Unaposema 'kwangu mimi' unamaanisha Nini?? Utambue Ulimwengu haukujui wewe na haujali hisia zako wala wewe unafikiria Nini juu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…