Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama una bando tafuta hii kitu.
View attachment 3114156
Maproducer na Madirekta wa kizungu wanawaza vitu vya ajabu sana.
Wananyeana mdomoni.Ungeelezea kidogo mkuu
Zilizofuata hazina mvuto kama ya kwanza.Zi
Zipo tatu, ya kwanza ndio kiboko.
Niliona ki clip tiktok nikaenda idownload. Nilijuta kwanini niliingalia.Ya kwanza ilikua top notch. Pili na tatu naona hazikua tena na ule utamu
Wale wazungu wanaumwa. Akili zao hazipo sawa aisee.Niliona ki clip tiktok nikaenda idownload. Nilijuta kwanini niliingalia.
Inachefua roho lakini at the same time inakupa shauku ya kutaka kujua kitatokea nini.
Ila wazungu ni wehu, kitendo cha mtu kukaa na kuamua tu kutunga movie kama ile.
Kama una bando tafuta hii kitu.
View attachment 3114156
Maproducer na Madirekta wa kizungu wanawaza vitu vya ajabu sana.
Nimeona recap ya namba 3..aisee hii movie director anashida ya kisaikolojia sana. Na kama kuna watu wanafanyiwa vile asiee ni hatariZi
Zipo tatu, ya kwanza ndio kiboko.
Ngoja niingalie, maana comment zenu zinanichekesha sana aiseeNimeona recap ya namba 3..aisee hii movie director anashida ya kisaikolojia sana. Na kama kuna watu wanafanyiwa vile asiee ni hatari