Human Centipede (2009): Hii Horror Movie hapana!

Ya kwanza ilikua top notch. Pili na tatu naona hazikua tena na ule utamu
Niliona ki clip tiktok nikaenda idownload. Nilijuta kwanini niliingalia.

Inachefua roho lakini at the same time inakupa shauku ya kutaka kujua kitatokea nini.

Ila wazungu ni wehu, kitendo cha mtu kukaa na kuamua tu kutunga movie kama ile.
 
Wale wazungu wanaumwa. Akili zao hazipo sawa aisee.

Mi nilipata recommendation reddit.
 
Nimeona recap ya namba 3..aisee hii movie director anashida ya kisaikolojia sana. Na kama kuna watu wanafanyiwa vile asiee ni hatari
Ngoja niingalie, maana comment zenu zinanichekesha sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…