Human Human Rights Watch report: Kenya yaongoza kwa Ukosefu wa haki za binadamu katika EAC.

Human Human Rights Watch report: Kenya yaongoza kwa Ukosefu wa haki za binadamu katika EAC.

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Hii ripoti bila shaka itamaliza utata na ubishi kwa jirani anayependa kujilinganisha na Tanzania katika eneo hili.

Pamoja na ukweli kwamba Tanzania tunafanya vibaya, lakini bado hatijafikia kiwango cha Kenya, Kenya ilifika kiwango cha kuwa "Failed state" sababu kubwa ni kushindwa kwa serikali ya Kenya katika kulinda maisha na kutoa haki kwa raia wake waliodhulumiwa na vyombo vya dola.

======

HRW: Rights abuses still rife in Kenya

New York,
The Kenyan government has repeatedly failed to make good its promises to address human rights abuses, an international monitoring group said on Wednesday.

“Lack of accountability for serious human rights violations by security forces, including extrajudicial killings and enforced disappearances, remain a major concern in Kenya, despite promises by President Uhuru Kenyatta to address key issues,” Human Rights Watch (HRW) states in its annual global report.

No payments have yet been made from a Ksh10 billion ($100 million) restorative fund that President Kenyatta announced in 2015, the report notes.

The fund, formally established in April last year, is intended to compensate victims of rights violations, including the 1,100 killings that occurred during the 2007-2008 post-election violence.

There is also no accountability in regard to the violence that occurred during the 2017-2018 elections in which more than 100 Kenyans lost their lives, HRW adds.
Advertisement

BABY PENDO
Those unpunished crimes include the killings of nine-month-old Samantha Pendo in Kisumu and nine-year-old Stephanie Moraa in Nairobi.

No actions have been taken against senior police commanders and other officials implicated in those abuses in the course of a government inquest, the rights group notes.

Some activists who raised environmental and health concerns regarding the massive Lamu Port-South Sudan-Ethiopia-Transport (Lapsset) Corridor project were harassed and detained by security forces who labelled some demonstrators terrorists, the report says.

“Kenyan authorities also continued abusive evictions of people from the Maasai Mau forest,” HRW adds.

EAST AFRICA
Human rights violations were also said to be rife in Somalia as well as among Kenya's partners in the East African Community.

The United Nations had recorded a 2019 total of 1,154 civilian casualties in Somalia as of mid-November. Two-thirds were attributed to attacks by al-Shabaab, the annual report says.

In Rwanda, political opposition to President Paul Kagame’s government has all but vanished due to harsh repression, HRW observes.

“The ruling Rwandan Patriotic Front continued to exert total control over political space in Rwanda in 2019,” the report states.

It points out that several opposition activists and one journalist were found dead or had disappeared under mysterious circumstances.

The situation was no better in Uganda, where “the government arrested its political opponents and blocked political and student rallies.”

“These restrictions on expression and assembly, arbitrary detentions and prosecutions of outspoken critics and the government’s failure to ensure accountability for past abuses, do not bode well for the 2021 General Election,” HRW warned in the case of Uganda.

Tanzania's human rights record continued to deteriorate under President John Magufuli, HRW says.

“The government lifted some restrictions on the publication of independent statistics, but continued to restrict media and critics of the government, deregister civil society groups, arrest journalists, restrict civic space and undermine the rights of women and of children,” the report states.

theeastafrican.co.ke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
'Kenya lacks accountability for human rights abuses', hiyo kwa akili yako inamaanisha kwamba Kenya inaongoza ukanda huu kwa ukiukaji wa haki za kibinadamu? Nilijua hujasoma hata sentensi moja ya taarifa hiyo baada ya kuona ulivochemsha, eti Human Wrights Report. WTF is that? 😕
 
Jikite kwenye mada tafadhali, soma ripoti article nzima na ujenge hoja, wacha kuvuruga mada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jikite kwenye mada tafadhali, soma ripoti article nzima na ujenge hoja, wacha kuvuruga mada
Nimeisoma mwanzo hadi mwisho kwa umakini, kama kawa. Sio kama wewe ambaye umeicopy paste bila hata kuichambua kidogo. Wanaongea kuhusu uwajibikaji wa serikali ya Kenya kwenye suala la ukiukaji wa haki za kibinadamu, tena ni kwenye matukio ya zamani. Hamna popote ambapo wamesema kwamba Kenya inaongoza ukanda huu wala kwamba haki za kibinadamu zinaendelea kukiukwa au hali inaendelea kuwa mbaya. Infact wameitaja Tanzania na wakasema hali nchini Tz inaendelea kuzorota, Mr. Human Wright. Afadhali Kenya ambapo wanaongea kuhusu uwajibikaji, Tz hamna uhuru wa kuongea kuhusu vitu kama hivyo. Mnacheza ligi za juu kwenye orodha ya nchi 10 DUNIANI ambazo zinaangaziwa kwa ukiukaji mkali wa haki za kibinadamu. Nchi ambazo hali inaendelea kuwa mbaya zaidi kila uchao.
FitW7_820px_Country_Trend_Arrows-cropped.png
 
1)Zaidi ya wakenya 100 waliuliwa uchaguzi uliopita, na hakuna hatua zozote zilizochukuliwa, onyesha ni nchi gani hapa Afrika mashariki ambapo watu wengi wameuliwa bila hatua kuchukuliwa. Tafadhali tumia vyanzo vinavyokubalika kimataifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Oii
1)Zaidi ya wakenya 100 waliuliwa onyesha ni nchi gani hapa Afrika mashariki ambapo watu wengi wameuliwa bila hatua kuchukuliwa. Tafadhali tumia vyanzo vinavyokubalika kimataifa.
Siungesema ni maoni yako kwamba Kenya inaongoza ukanda huu. Maanake naona unajificha nyuma ya ripoti ambayo hadi sasa hivi hujaelewa inazungumza kuhusu nini. Hizo nchi kumi zinazoangaziwa duniani ni kutoka kwa ripoti ya Freedom House 2019. Sikuona maoni yako kwenye uzi huu hapa chini ambao unazungumzia ripoti mbili za HRW na Amnesty international kuhusu ukiukaji wa haki za kibinadamu Tz. Tanzania: As long as quiet am safe- Human Rights Watch na Tanzania crackdown on dissent sowing fear and stiffling human rights- Amnesty International, ripoti za desemba 2019.
 
Siungesema ni maoni yako kwamba Kenya inaongoza ukanda huu. Maanake naona unajificha nyuma ya ripoti ambayo hadi sasa hivi hujaelewa inazungumza kuhusu nini. Hizo nchi kumi zinazoangaziwa duniani ni kutoka kwa ripoti ya Freedom House 2019. Sikuona maoni yako kwenye uzi huu hapa chini ambao unazungumzia ripoti mbili za HRW na Amnesty international kuhusu ukiukaji wa haki za kibinadamu Tz. Tanzania: As long as quiet am safe- Human Rights Watch na Tanzania crackdown on dissent sowing fear and stiffling human rights- Amnesty International, ripoti za 2019.
Tunazungumzia ripoti hii ya 2020 ya HRW inayoiweka Kenya mbele katika ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na vyombo vya dola mbele ya macho ya serikali. Kumbuka kwamba tupo 2020 sio 2019.
Ninauhakika umesoma vizuri kuhusu saikolojia ya uandishi, mlolongo(sequence) ya uhandishi inajieleza wazi wazi, kinachoanza kuandikwa ndicho chenye umuhimu mkubwa, hiyo huitaji hadi kiandikwe kwamba ndicho kinachoongoza, tumikisha akili vizuri.

Hii ni zaidi ya kutoelewa kiingereza, sitakuficha jombaa, una matatizo ya kiakili.
 
Hivi katiba mpya imewasaidia nini kuimarisha haki za binadamu na rushwa,just wastage hungry Kenyan's resources!
 
Back
Top Bottom