Human Resource Management na Business Administration ipi kozi nzuri kusoma?

Human Resource Management na Business Administration ipi kozi nzuri kusoma?

Yuzo De roon

New Member
Joined
Mar 24, 2022
Posts
1
Reaction score
1
Nataka kujiunga na chuo cha Uhasibu,

Nahitaji kujua course gani ni nzuri kusomea ili kupata maarifa katika business, course zenyewe ni Business administration na Human resources na ukubwa wake katika ajira yaani namaanisha (mshahara, urahisi wa ajira, heshima pia).
 
Nataka kujiunga na chuo cha Uhasibu, nahitaji kujua course gani ni nzuri kusomea ili kupata maarifa katika business, course zenyewe ni Business administration na Human resources na ukubwa wake katika ajira yaani namaanisha (mshahara, urahisi wa ajira, heshima pia).
Kasomee BA mdogo wangu tena kama utapenda kasomee Singida campus kama utakuwa willing nkupe connection sabab nlisoma huko

Main campus skushauri maana ma lecture pasua kichwa

Hr ni nzuri ila kupata kazi for the first time ni mziki mjuano mwingi mno
 
Course zote hizo vichomi tu kwa miaka ya hivi kribuni 2010 update...

Tatizo lenu vijana mnataka kusoma course ambazo ukizitamka mbele za watu zina sound kama umeajiriwa 😅😂

Kasome ualimu au afya ndio ajira za uhakika kila mwaka, na unaweza kujiajiri...
 
Nataka kujiunga na chuo cha Uhasibu, nahitaji kujua course gani ni nzuri kusomea ili kupata maarifa katika business, course zenyewe ni Business administration na Human resources na ukubwa wake katika ajira yaani namaanisha (mshahara, urahisi wa ajira, heshima pia).
Mimi nashauri hiyo ada ya kusomea hizo course nashaur aanzishe ufugaji wa samaki, mbuzi, nguruwe, au hata kuku na kilimo biashara after....5, 10, 20yrs

Samahani kama ntakua nimewakwaza....
 
Course zote hizo vichomi tu kwa miaka ya hivi kribuni 2010 update...
Tatizo lenu vijana mnataka kusoma course ambazo ukizitamka mbele za watu zina sound kama umeajiriwa [emoji28][emoji23] Kasome ualimu au afya ndio ajira za uhakika kila mwaka, na unaweza kujiajiri...
Exactly

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kuna bonge la kozi linaitwa
Bachelor degree in Gender and development.....mnma

Nenda
 
b
Nataka kujiunga na chuo cha Uhasibu, nahitaji kujua course gani ni nzuri kusomea ili kupata maarifa katika business, course zenyewe ni Business administration na Human resources na ukubwa wake katika ajira yaani namaanisha (mshahara, urahisi wa ajira, heshima pia).
business admin pale udsm sema ni evening classes.
 
Mkuu kwa Kwann Mzumbe na sio Udsm?
Majority ya maafisa waajiri wengi wakubwa sekta binafsi na za serikalini tena wale nguri na maguberi ni product ya Mzumbe. Kuna vyuo viko competent kwenye baadhi ya fani.

Ni sawa na Kozi ya Insurance au banking IFM... Una possibility kubwa ya kupata ajira. Vyeti vyao vina uzito (historia inaheshimika) au usome fani ya kodi I.T.A unafkiri utakosa ajira?!

Kwani si unataka usome uajiriwe au ukauze simu kama vijana wa hovyo wa kariakoo?! 😀🤔
 
Kijina nasa na wewe kasome account kisha pata CPA Kisha nitafute ukimaliza chuo na kozi hiyo
 
Kijna nasa na. Wewe kasome account Kisha pata CPA Kisha nitafute ukimaliza chuo na koz hyo
Mheshimiwa natazama Avatar yako mara mbilimbili... siamini kama ni wewe

Au uliachia simu kijana ndo akafanya huo ufedhuli?! 😀😅😅😅🙌🏾
 
Back
Top Bottom