Yuzo De roon
New Member
- Mar 24, 2022
- 1
- 1
Well said.Human resource management ni nzuri zaidi! Tena kasomee Mzumbe Morogoro na hakikisha unapata ufaulu mzuri sana!
Business administration labda masters ina potential ππΎ
Kasomee BA mdogo wangu tena kama utapenda kasomee Singida campus kama utakuwa willing nkupe connection sabab nlisoma hukoNataka kujiunga na chuo cha Uhasibu, nahitaji kujua course gani ni nzuri kusomea ili kupata maarifa katika business, course zenyewe ni Business administration na Human resources na ukubwa wake katika ajira yaani namaanisha (mshahara, urahisi wa ajira, heshima pia).
Mimi nashauri hiyo ada ya kusomea hizo course nashaur aanzishe ufugaji wa samaki, mbuzi, nguruwe, au hata kuku na kilimo biashara after....5, 10, 20yrsNataka kujiunga na chuo cha Uhasibu, nahitaji kujua course gani ni nzuri kusomea ili kupata maarifa katika business, course zenyewe ni Business administration na Human resources na ukubwa wake katika ajira yaani namaanisha (mshahara, urahisi wa ajira, heshima pia).
ExactlyCourse zote hizo vichomi tu kwa miaka ya hivi kribuni 2010 update...
Tatizo lenu vijana mnataka kusoma course ambazo ukizitamka mbele za watu zina sound kama umeajiriwa [emoji28][emoji23] Kasome ualimu au afya ndio ajira za uhakika kila mwaka, na unaweza kujiajiri...
business admin pale udsm sema ni evening classes.Nataka kujiunga na chuo cha Uhasibu, nahitaji kujua course gani ni nzuri kusomea ili kupata maarifa katika business, course zenyewe ni Business administration na Human resources na ukubwa wake katika ajira yaani namaanisha (mshahara, urahisi wa ajira, heshima pia).
Mkuu kwa Kwanini Mzumbe na sio UDSM?Human resource management ni nzuri zaidi! Tena kasomee Mzumbe Morogoro na hakikisha unapata ufaulu mzuri sana!
Business administration labda masters ina potential ππΎ
Majority ya maafisa waajiri wengi wakubwa sekta binafsi na za serikalini tena wale nguri na maguberi ni product ya Mzumbe. Kuna vyuo viko competent kwenye baadhi ya fani.Mkuu kwa Kwann Mzumbe na sio Udsm?
Mheshimiwa natazama Avatar yako mara mbilimbili... siamini kama ni weweKijna nasa na. Wewe kasome account Kisha pata CPA Kisha nitafute ukimaliza chuo na koz hyo