Human Rights Watch: Freedoms in Tanzania threatened ahead of elections as authorities crack down on Opposition Parties, Rights Groups, Media

Human Rights Watch: Freedoms in Tanzania threatened ahead of elections as authorities crack down on Opposition Parties, Rights Groups, Media

Human Rights Watch, shirikika la kimataifa la kutetea haki za kibinadamu, limeiangazia Tz kuhusu ukiukwaji wa haki za kibinadamu kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba.

HRW inadai kwamba kwa muda wa miezi mitatu iliyopita wanachama wa upinzani 17 na watanzania wengine waliokashifu serikali wamekamatwa.

Huku NGO moja ya kutetea haki za kibinadamu ikipigwa marufuku na nyingine ikipokonywa leseni. Kiongozi wa waislamu Issa Ponda naye alikamatwa na kutupwa selo kwa siku tisa bila kufikishwa mahakamani, baada ya kutoa 'press confrence' akidai uchaguzi huru na wa haki.

Huku Kwanza Tv(online) ikifungwa kwasababu za kisiasa. Ila kilinichonishangaza zaidi ni kwamba wahariri wa magazeti walitishiwa na kuonywa kuhusu kuripoti habari zinazohusu kampeni za wagombea urais wa upinzani, Tundu Lissu na Bernard Membe. Majirani mnalo na inasikitisha sana kwamba mnapitia unyanyasaji wote huu na maumivu haya yote kimya kimya.

Tanzania: Freedoms Threatened Ahead of Elections
Hawa ni wapumbavu, uchochezi unaoenezwa na Lissu kwao wanaona hauna tatizo sio?? watuache tupambane
 
I don't know if there's a Tanzanian individual who can be engaged in a mature conversation without hurling insults. During the engagement in this thread, you've maintained calm,no harsh/insultive comments despite the back to back scornfule abuses from the other members, (the thread is about human rights mind you)
i salute this kind of boldness.
Thanks man, I always try to be civil. Civil discussions and engagements in my opinion are the true determiners of what exactly is inbetween the ears of any learned fellow. Shouting matches filled with vulgarity and expletives is the hallmark and the natural habitat of the intellectualy challenged.
 
Soma hukumu ya kesi iliyobatilisha ushindi wa Jubilee hii hapa inasema wazi kwamba" the fact that IEBC refused to give court full access to it computer........ "
Kenya court blames electoral body for nullified vote

Tafadhali usinipotezee muda wangu, ukabila unakusumbua sana.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Sawa jombaa, hata mimi pia nipo busy kwenye shughuli zangu za hapa na pale. Kwahivyo sitakupotezea muda wako, wa kukesha hapa kwenye jukwaa hili.
 
Hawa ni wapumbavu, uchochezi unaoenezwa na Lissu kwao wanaona hauna tatizo sio?? watuache tupambane
Tume huru ya uchaguzi na uchaguzi huru na wa haki sio masuala ambayo yanafaa kujadiliwa? Huo ndio unaita uchochezi au mimi ndio sijakuelewa?
 
Back
Top Bottom