Humbleness is pretend

Hii mada nzuri sanaa tatizo siku hizi inaharibiwa na machawa, yaani kuna mtu anaweza kuonekana ni myenyekevu kumbe ni chawa.

Ila kama uko smart ni rahisi sana kutofautisha chawa na mnyenyekevu.
 
Hii mada nzuri sanaa tatizo siku hizi inaharibiwa na machawa, yaani kuna mtu anaweza kuonekana ni myenyekevu kumbe ni chawa.

Ila kama uko smart ni rahisi sana kutofautisha chawa na mnyenyekevu.
Yaani u'sipo angalia unaweza kuitwa chawa
 
M
MBona kama umecopy maneno ya mtumishi Tony Kapola mkuu na hujatoa credit yake?...
 
Mkuu pia unyenyekevu unaendana na ukimya ila pia ukimya una uhusiano wa damu na kiburi , kuna namna unyenyekevu una uhusiano wa kindugu na kiburi japo mama mmoja ila baba tofauti
Mkuu, watu wakimya hawana kiburi bt wanaudhaifu wa kushindwa kujieleza, ambao husababisha waonekane kama wanakiburi.
 
Mkuu, watu wakimya hawana kiburi bt wanaudhaifu wa kushindwa kujieleza, ambao husababisha waonekane kama wanakiburi.
ni kwel lakin zipo hali fulani ukimya unaweza kuendana na kiburi japo sio kila ukimya ni kiburi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…