Upo sahih, mfano mtu mkimya kama amekosea/hapendi kitu fulani, ukiwa unamweleza anapiga kimya, kama hujui hulka zao utasema ni kiburi bt kumbe hawezi kujieleza na ukimya wake huo ni ishara ya samahani.ni kwel lakin zipo hali fulani ukimya unaweza kuendana na kiburi japo sio kila ukimya ni kiburi.
