Humbleness is pretend

Humbleness is pretend

ni kwel lakin zipo hali fulani ukimya unaweza kuendana na kiburi japo sio kila ukimya ni kiburi.
Upo sahih, mfano mtu mkimya kama amekosea/hapendi kitu fulani, ukiwa unamweleza anapiga kimya, kama hujui hulka zao utasema ni kiburi bt kumbe hawezi kujieleza na ukimya wake huo ni ishara ya samahani.
 
Back
Top Bottom